Rais Samia atajutia sana Humphrey Polepole kutekwa

Polepole ndio angekuwa kiungo cha Maridhiano Nchini na Duniani.

waliwaza nini washauri wa Samia... Kweli kuna muda mtu huwa na upofu
Kipindi hiki polepole, january hawa walikuwa na uwezo wa kuzima au kupunguza joto kwa yaliyotokea

Lakin as usual huwa hawajifunzi hadi matatizo yawakute
 
tu anatumia akili za makonda a.k.a Joyce wowo🤣🤣🙌 ila ccm ni ******* sana kama tume makende chande.
 
Polepole ndio angekuwa kiungo cha Maridhiano Nchini na Duniani.

waliwaza nini washauri wa Samia... Kweli kuna muda mtu huwa na upofu
kama unao ushahidi wa Samia kuhusika na utekwaji wa Polepole, nitumie PM haraka iwezekanavyo.
 
Yuko wapi Lazaro Nyarandu, ziara zao wakitumbua Kodi zetu wakibadilisha Hotel na viwanja vya ndege hazikuzaa matunda? Prof. Paramaganda Kabudi, pesa zetu baba. January Makamba na Polepole hawapo kwenye mfumo, so hatuwezi hata kuwawazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…