Jana anawaambia watu wazima kwenye kikao namna ya kufanya siasa jinsi anavyotaka yeye na siyo sheria zinavyotaka,,Anasingizia uongo eti wapinzani wakifanya mikutano ya hadhara wanaharibu mali za watu hivi ni lini na wapi hilo limetokea !!? Tumeshuhudia operations nyingi kama Operation sangara,M4c nk lkn hatujawahi sikia hata mtu kuvunjika mguu kutokana na operation hizo.
Samia anaogopa hoja zitakazoibuliwa na wapinzani na kuimarika kwa vyama pinzani wala asisingizie uharibifu wa mali.
Nakubaliana na Lissu huwezi kwenda kukaa na Rais eti akupangie cha kufanya wakati aheria zipo wazi ,Unageuka kuwa mtumwa wake kisiasa maana atakufundisha mpaka cha kusema mbele ya hadhara ,,hivi Zitto Kabwe alijua kitanzi alichokuwa anajifunga kwa unyenyekevu ule wa kikondoo!!? Japo alifanya jambo jema kumuombea mbowe aachiwe lkn ajue alikuwa anatengeneza mazingira ya kuwa mateka kila kitakachofanywa itabidi kiwe na baraka za Ccm na Ikulu
Watawala wa Afrika ni walafi kuwanyang'anya kitumbua haihitaji kuwapigia magoti ni kwenda nao kinyama nyama wakikuua dunia itasema
Samia anasema mimi ndo rais natakiwa kuwa mlezi wa amani,,, yaani uwe mlezi kwa kuwakandamiza wenzio!???