Rais Samia, atekwe nani ndo uchukue hatua?

The Whistleblower

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2022
Posts
247
Reaction score
434
Ulipoongea na waandshi wa Habari ulisema hizi ni Drama tu na kifo ni kitu cha kawaida.

Ni kweli kifo ni kitu cha kawaida sana kama hayajakukuta.

Swali langu kwako mama ni hili," Ni nani atekwe au apotee ndo uchukue hatua nzito kama mkuu wa nchi"?.
Kama vyombo vya Dola ndani ya nchi vimeshindwa kuwabaini watekaji,kwanini usiombe msaada wa Scotland Yard au FBI? .

Ukimya wa Serikali umetufanya kuhituhumu serikali kuwa ndo muhusika mkuu wa haya matukio. iwe ni serikali au genge la watu hakuna atakayeshinda, Mungu yupo na hukaa na wenye haki.
 
Utingo.
 
Dawa ya kukomesha utekaji ni kuteka watekaji na familia zao hapo Ngoma itakuwa square ila tukiendelea kulalamika watatufanya swala wa mikumi.
 
Imagine mtekaji anateka kama wale wa Mzee kibao halafu akirudi home anakuta Binti yake kipenzi wa darasa la nne nae katekwa huo ndio utamu.
 
Ulipoongea na waandshi wa Habari ulisema hizi ni Drama tu na kifo ni kitu cha kawaida.

Ni kweli kifo ni kitu cha kawaida sana kama hayajakukuta.

Swali langu kwako mama ni hili," Ni nani atekwe au apotee ndo uchukue hatua nzito kama mkuu wa nchi"?.
Kama vyombo vya Dola ndani ya nchi vimeshindwa kuwabaini watekaji,kwanini usiombe msaada wa Scotland Yard au FBI? .

Ukimya wa Serikali umetufanya kuhituhumu serikali kuwa ndo muhusika mkuu wa haya matukio. iwe ni serikali au genge la watu hakuna atakayeshinda, Mungu yupo na hukaa na wenye haki.
abdul na yule bnti anaitwa nani.. vile...Wani
 
Teka viongoz .bunge zima...ndo access zaid...ndo tatizo kubwa la TZ...
 
Back
Top Bottom