The Whistleblower
JF-Expert Member
- Dec 9, 2022
- 247
- 434
Utingo.Ulipoongea na waandshi wa Habari ulisema hizi ni Drama tu na kifo ni kitu cha kawaida.
Ni kweli kifo ni kitu cha kawaida sana kama hayajakukuta.
Swali langu kwako mama ni hili," Ni nani atekwe au apotee ndo uchukue hatua nzito kama mkuu wa nchi"?.
Kama vyombo vya Dola ndani ya nchi vimeshindwa kuwabaini watekaji,kwanini usiombe msaada wa Scotland Yard au FBI? .
Ukimya wa Serikali umetufanya kuhituhumu serikali kuwa ndo muhusika mkuu wa haya matukio. iwe ni serikali au genge la watu hakuna atakayeshinda, Mungu yupo na hukaa na wenye haki.
abdul na yule bnti anaitwa nani.. vile...WaniUlipoongea na waandshi wa Habari ulisema hizi ni Drama tu na kifo ni kitu cha kawaida.