Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Akiwa katika banda hilo, huku akiongozwa na mwenyeji wake Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) na Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi amejionea wanyamapori mbalimbali kama Simba, Pundamilia, Chui, Fisi n.k.
Wizara ya Maliasili na Utalii na Taasisi zake Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro zimeshiriki Maonesho hayo.
Soma Pia: Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu