GE2025 Rais Samia atembelea Kaburi la Hayati Rais William Benjamin Mkapa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua katika Kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa, Lupaso, Masasi mkoani Mtwara tarehe 24 Septemba, 2025



​
 

Attachments

  • 1758704972079.png
    1.4 MB · Views: 39
hahaha vp lini ataendea kuweka maua kaburi la yule ambaye babake alifia jangwani arabia huko na kuzikwa huko huko nasikia ni ndugu yake ...
 
Akienda Tanga, ajitahidi pia kutembelea kaburi la Mzee Kibao, ili kuonesha Rais ni wa wananchi wote kwenye jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…