Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

Hmm…huyu mama naye kama Magufuli tu sasa.

Anateua leo, jioni anatengua.

Kesho anateua, keshokutwa anatengua!

Hivi hao wateuliwa huwa hawafanyiwi vetting??

NB: Hizi press releases huwa zinatolewa saa ngapi usiku?

Akizingua.....tutazinguana !!
Watu waje na mabango hata ya matusi ????
Haya nenda kwenu ukae na fikiria yule ulisema uliongea nae kwa simu wakati ashakufa alikwambia nn... !!!
 
Kaka yangu Chalamila usivunjike moyo, hiyo ndio dunia. Piga moyo konde ni mabadiliko tu ya situation. By the way kila kitu kina msimu wake. Kazi Iendelee
 
Me pia ile kauli yake ya watu waje na mabango ya kutosha ilinipa shaka

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Hata usiposhangilia nini kinafanyika kama baada ya Mwigulu kumaliza kusoma, Ndugai akasema hongera ishapita hiyoo na makofi yakapigwa unatarajia nini sasa????? Maana kila mzigo wa kupinga wameachiwa Chadema na Mbowe
Huyu spika atenguliwe... ni janga
 
Kila mtu na mwandiiko wake yeye anapendelea huo mwandiko ingawaje si mzuri sana kama wa yule wa songea
Na hilo ndilo nimeliona..fonts inaumiza macho kiasi on my view though
 
pombe ya shinhwa imemkost, tulimkanya hii pombe kali mno hakusikia, ila mwanza wangetuletea makonda jamani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…