Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

Lilikuwa ni suala la muda tu,Happi nae anatafutiwa angle nzuri wambane Kende zake .Safi sana mama haya majitu yalisumbua sana watu.
 
Hmm…huyu mama naye kama Magufuli tu sasa.

Anateua leo, jioni anatengua.

Kesho anateua, keshokutwa anatengua!

Hivi hao wateuliwa huwa hawafanyiwi vetting??

NB: Hizi press releases huwa zinatolewa saa ngapi usiku?
Hamna nafasi ya reprimand? Halafu hazitolewi sababu za uteuzi kutenguliwa na hivyo kutoa mwanya wa mtu kuonekana ameonewa. Na kama mtu ameonekana mbovu kwa nini asipewe nafasi ya kujiuzuru?

Amandla...
 
Ilibidi Madame President afanye hivyo kumtafutia Batilda nafasi ya heshima, na trip yake ya Mwanza isiwe na msuguano na wenyeji....

Wanamwanza hawakufurahi kabisa Chalamila kupelekwa huko....

All in all, kama sisi na mama anademka na 'social media' 24/7.
 
Chalamila alikuwa anahangaika mno. Juzi hapa nimemuona akiwataka wananchi wa Mwanza wajitokeze kwa wingi kwenye ziara ya Rais atakayoifanya mkoani humo na akawataka waje na mabango ya kutosha - hata kama ni ya matusi sawa tu. Wakati huo huo mama ameshatoa onyo kuwa hataki kuona mabango wananchi wakiilalamikia serikali; na kwamba mabango hayo yatawa-cost wakuu wa mikoa. Huu ni wakati wa ku-lay low na kusoma upepo unavyokwenda. Haoni wenzake akina Hapi wako kimya wanahamishwa tu huku na huko utafikiri mpira wa kona?
Jamani Mama tumpe miaka 10 Na nyoneza ni mtekelezaji hana misifa ya kitoto hakika ni kiongozi
 
Hmm…huyu mama naye kama Magufuli tu sasa.

Anateua leo, jioni anatengua.

Kesho anateua, keshokutwa anatengua!

Hivi hao wateuliwa huwa hawafanyiwi vetting??

NB: Hizi press releases huwa zinatolewa saa ngapi usiku?
hazina muda zina kujia kama kifo! ndio safiri ili watu wajuwe madaraka ni dhamani na sio uridhi wa kikabila!
 
Chalamila alikuwa anahangaika mno. Juzi hapa nimemuona akiwataka wananchi wa Mwanza wajitokeze kwa wingi kwenye ziara ya Rais atakayoifanya mkoani humo na akawataka waje na mabango ya kutosha - hata kama ni ya matusi sawa tu. Wakati huo huo mama ameshatoa onyo kuwa hataki kuona mabango wananchi wakiilalamikia serikali; na kwamba mabango hayo yatawa-cost wakuu wa mikoa. Huu ni wakati wa ku-lay low na kusoma upepo unavyokwenda. Haoni wenzake akina Hapi wako kimya wanahamishwa tu huku na huko utafikiri mpira wa kona?
Madaraka ya kulevya
 
Na siku anawaapisha alisema kuwa huyu anaripuka
 
Safi kabisa aende akajiajiri Iringa kuna mapori mengi tu

Asubuhi anaamka anaona dereva na v8 haliji kumchukua kwenda kazini
 
Yule jamaa Its either anavuta bangi, unga au pombe kupita kiasi au anajaribu kufanya utani lakini hauwezi utani, anapitiliza mnoo siyo mara ya kwanza kutoa kauli za ajabu.

Kule Mbeya kipindi cha uchaguzi alisema ana hamu na damu za wapinzani kama litre 8 hivi ana mpango wa kuzimwaga, he is terrible.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ana hamu na damu litre 8[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Hatimae Yametimia Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh.Sana Bw.Albert Chalamila hatunae tena kwenye Orodha ya Wakuu wa Mikoa hii ASUBUHI Kwani Uteuzi wake UMETENGULIWA.Tunamshukuru MUNGU kwa Kusikia KILIO chetu Sisi WANA MBEYA
[emoji116]
20210611_074027.jpg
 
Mh. Rais yuko sahihi, Chamila sijui ni ulevi, utani uliopitiliza hayupo serious kazini, unatoa taarifa ujio wa Rais maneno mengi yasiyohusika mara kufukuzwa kazi, mabango ya matusi, nani amewahi andika bango lenye matusi? Watu wabebao mabango wana shida za kweli wewe unafanya utani na dhihaka juu ya kauli ya Rais kuhusu mabango! Mh. Rais yupo sahihi!
 
Back
Top Bottom