Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
What is vetting Kamanda? Inafanyika vipi?
Mkuu hapa unamtesa kwa hii lugha huyo kamanda asiechoka kutoka mitaa ya Lumumba 🤣🤣🤣Doing your due diligence by using all the available resources at your disposal in order to get it right the first time.
Doing your due diligence by using all the available resources at your disposal in order to get it right the first time.
Kwa akili yako kina chalamila hapo wanakomolewa?Hayo malevi yote ya madaraka kipindi cha dhalimu ni kuyapiga chini ya kale jeuri yao.
Happy naye ni masalia ya mwendazakeChalamilla hafai kabisa, lakini mama namshangaa bado anaona Hapi anafanyaa kweli? Lakini muda utaongea
Acha ujinga wewe bajeti imeshapita hiyo hata ukiijadili hakuna kitakacho badilika, kuna wabunge zaidi ya 300 bungeni hawajafanya kitu unataka sisi humu jf tufanyeje?Mbuzi wa kafara. Wadanganyika kesho wanaamka na Agenda ya Charamila wanasahau Mambo ya bajeti na Kodi za 'Ovyo ovyo'
Aaisee kelele zina nguvu
Kwa akili yako kina chalamila hapo wanakomolewa?
Itakuwa imemcost big time
🤣🤣Chalamila ni endangered spices anatakiwa kulindwa asipotee.
Unaamka zako asubuhi hujapiga hata mswaki unaambiwa jiji si lako tena rudi Iringa ukapulizwe na baridi kidogo