Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Lakini tumeyapigia kelele haya mambo muda mrefu sasa naona mmeanza kuelewaKuna kundi la matajiri wasiozidi 10 wanaongoza kupitisha bidhaa zao hapo bandarini, wakubwa hao wametajirika kwa miaka mingi kupitia hyo bandari, wanazo pesa za kutosha ambayo wanaweza kumuweka chini mtu yoyote na akalamba asali.
Wakubwa hawa hawa wana connection nzito ndani na nje ya serikali, kama ukitaka kuwazingua sana basi ujiandae kuzinguliwa. Nchi hii ya Tanzania sio rahisi kama watu wanavyofikiria.
Kama ukitaka kudumu sehemu lazima uwe mtu wao, ujue kula nao. Nchi hii inahitaji total reformation, CCM walipoifikisha hii nchi Mungu ndio anajua.
Ni kweli mkuu, sasa sijui tufanye nini kuondokana na hali hiyo?Kwani tanzania wanachi wanachagua au wanachaguliwa? Viongozi wanawekwa tu.
Tupendekeze uajiriwe wewe hapo🤔Wafukuze wote hapo bila kufanya hivyo hakuna kitakachoendelea.
Hapo kuna magwiji ambao ni washirikina mno,
Ukijifanya mnoko wanakuondoa.
Jeshi lenye watumishi maafisa wenye elimu ya kidato cha sita watafanya kipi kipya?ubunifu zero.Mh pale bandari sijui nani ata paweza labda wakabidhiwe Jeshi JWTZ
Kwani Mama kasema Eric ana tatizo au ameamua kumbadilisha tu na huenda anataka kumpangia kazi nyingine.Matatizo hayako bandarini peke yake.
Matatizo yapo kila mahala, hata kwa wateuzi wenyewe.
Sasa jiulize, hapa katoa usuluhishi gani juu ya tatizo lililopo bandarini.
Huyu bwana mdogo aliyeteuliwa naye siku chache zijazo utasikia kishashindwa kazi.
Mbaya zaidi ni kutochukua muda kufahamu tatizo la sehemu hiyo hasa ni lipi, linalofanya pawe na 'turnover' kubwa kiasi hiki?
Hao wanaokula huko kwenye bandari, madini,n hifadhi kama ngorongoro ndio wanaohakikisha Tanzanua hatupati viongozi tunaowataka bali wanaowataka wao.Ni kweli mkuu, sasa sijui tufanye nini kuondokana na hali hiyo?
Una hatari na nusu. Sabaya kawa mzalendo!
Rais Samia tengua pia uteuzi wa Dpp Kweka, tangu umteue ana kazi ya kushinda Moshi na Arusha kutengeneza kesi feki za kumshitaki Sabaya.
Pia meneja wa TRA mkoa wa Kigoma bwana Gabriel Mwangosi amesimamishwa kazi na kamishina mkuu wa TRA bwana Alphayo Kidata baada ya kupandisha ushuru wa forodha mkoani humo kutoka millioni 15 kwa mwezi hadi millioni 300 kwa mwezi!
Alichokifanya bwana Mwangosi alipofika Kigoma ni kuziba mianya yote ya upigaji na kuwaelekeza wafanyabiashara wote kulipa mapato halali TRA na kupata risit halali matokeo yake mapato yakapanda maradufu kitendo ambacho kiliwakera wakubwa ikiwemo wafanyabiashara wakubwa na kuamua kumzushia zengwe na hatimaye amesimamishwa kazi na mapato ya forodha mkoani humo yameshuka tena na kuwa vilevile millioni 15 kwa mwezi!.
Ni kama tu Sabaya alivyoikuta wilaya ya Hai ikiwa ya 144 kwenye mapato na kuipandisha mpaka ikawa ya nne kitaifa lakini akaishia kuzushiwa zengwe na kupelekwa mahakamani. Jambo hilo la wazalendo kutafutwa kwa tochi na kuzushiwa mazengwe limemkera mbunge Tabasamu na kukataa kuomba radhi kwenye mwongozo wa waziri Simbachawene.
Mi nahisi hivyo. Mabandari, madini, mahifadhi hayajawahi kuwa na faida kwa Raia wa tanzania.Kuna kitu raia wema hatujaambiwa, au siyo?
🤣🤣🤣🤣Kila mtu anatafuta pesa..kwani unadhani na wao hawataki kulamba asali.
Hii nchi tunachekeana sana.
#MaendeleoHayanaChama
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeongea kwa uchungu sanaTRA ni kirusi kama virusi wengine
Wanataka kodi kubwa ya kumfilisi mfanyabiashara
Watanzania wanapenda sana kulipa kodi ila kodi ziwe za chini watu wengi wahamasike kulipa tatizo hao wapumbavu wakija kukukadilia kodi utatamani ufunge duka ukalime.
Nyie wenye matumbo ya mbele ebu shusheni kodi watu tulipe kodi.
Mkuu hawa jamaa sio kabisa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeongea kwa uchungu sana
Watu wa ndani wa TPA wanawajua hawa watu, TRA wanawajua hao watu, serikali kuu kupitia vyanzo vyao vinawajua fika. Tatizo ni kua hao ndio wadhamini wa wakubwa na chama chao, walihusika kuiweka madarakani awamu fulani chini ya kikundi chao cha "wanamtandao".Ngoja niotee unazungumzia Gsm, Azim dewji mzee Wa Simba Logistics, TRH , Alistair, Bollore ,FFT, Manji
Huwajui wewe, kwa deal haya jamaa bora hata magerezaMh pale bandari sijui nani ata paweza labda wakabidhiwe Jeshi JWTZ
Umenielewa kweli? Ni sawa na kusema mipaka ya haao Botswana iwe chini ya private companies.Usalama wa nchi mmmmmm sidhani,Botswana ni land locked country na ipo very stable country labda zaidi yetu