Rais Samia atengua uteuzi wa Eric Hamissi, Mkurugenzi Mkuu wa Usimamizi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)


DR.KIMEI : SHIPPING INDUSTRY HAIWEZI KUFANIKIWA KWA KUJIFUNZA KWA KITUMIA NJIA YA KUJARIBU

 
KITABU CHA MTANZANIA KUZINDULIWA NA WADAU WA SHIPPING / BANDARI


Source : Nguhulla TV
 
wamemuonea tu maana hakuna serikali hata moja iliyoweza kuwasaidia hao ma DG katika kutekeleza majukumu yake ipasavyo.na wakati mwingine siasa zinakuwa nyingi zaidi ya utendaji hao hao wanaotumbua wenzao ndio hao hao wanaoagiza mambo yafanyike kinyume na utaratibu.
 
Eti hata yule HSC ndie anaitwa mwekezaji! na ndie kamchongea kwa mama!
Sijui mama haqjui huyu mtu alivyo tqpeli!
 
Hukumuelewa mama, kodi za dhuluma alimaanisha ubambikiaji wa kodi isivyo halali kwa watu, na siyo kama ulivyopotosha wewe.
 
DR.KIMEI : SHIPPING INDUSTRY HAIWEZI KUFANIKIWA KWA KUJIFUNZA KWA KITUMIA NJIA YA KUJARIBU

"KUJIFUNZA KWA KUTUMIA NJIA YA KUJARIBU"?

Kwani "Shipping industry" ni eneo jipya, ambalo taratibu zake hazijavumbuliwa?

Au kuna maana nyingine ambayo sijaipata kuhusu maneno hayo?
 

11 July 2022

KATIKA MIAKA KUMI ILIYOPITA, WAKURUGENZI WAKUU WA BANDARI 6 WAMETUMBULIWA / WAMEBADILISHWA

MIZANI YA WIKI |Ni kwa kiasi gani bandari inaweza kuwa na tija kwa Tanzania?


Mifumo mizuri ya kuifanya bandari kuweza kuchangia nusu ya bajeti ya serikali ni ufanisi ,vitendeakazi, tabia nzuri za wafanyakazi wote katika kujitoa , ujuzi, barabara, reli na TRA.

Wadau toka DR Congo Bw Sergie Abdallah, pia ofisa wa chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania TAFA Elitunnu Malammia , mjumbe wa kamati ya miundo mbinu bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania engineer Mwanaisha Ulege (MB) na Alhaj Adam Kimbisa mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki wanaongea kwa undani changamoto za bandari ya Dar es Salaam inayopata ushindani toka bandari zingine kuhudumia mizigo kwa ufanisi na uharaka ya nchi za Zambia, DR Congo, Rwanda, Burundi, Malawi
Source : Azam TV
 

Ikiwa mradi wa Rusumo wa umeme Welcome to the Regional Rusumo Fall Hydroelectric Project upo ubia baina ya nchi tatu Rwanda, Burundi na Tanzania. (Video hapo chini)

Nini kinashindikana bandari zetu kukaribisha ubia Rwanda, DR Congo, Burundi, Zambia kushiriki ktk upanuzi wa bandari zetu na hii itapelekea pia kushiriki kama wadau-wawekezaji ktk reli ya SGR mpya na kuifufua TAZARA kwa nchi wadau kuongeza mitaji na bandari za Tanzania kupakua na kupakia mizigo mingi kwani nchi hizo zitakuwa na uhakika kama mkataba wa Belbases

Comparativ › ...PDF
The Belgian Base at Kigoma's Rail- head (1920s–1930s). Territorial ...
by G Castryck · 2015 · Cited by 2 — Salaam with Kigoma on Lake Tanganyika, and hence with eastern Congo. The railway ... required a distinction between

MRADI WA UBIA NCHI TATU, SEKTA YA UMEME
UPDATE ON REGIONAL RUSUMO FALL HYDROELECTRIC POWER PLANT
Mr. Darren PROTULIPAC, the Project Manager breaks down the structural configurations, the investment ASK, and the socioeconomic impact of the regional project-RRFHPP
 



MARITIME BUSINESS: 80% OF RWANDA's GOODS USE DAR ES SALAAM PORT
Tanzania Truck Owners Association CEO at Tanzania-Rwanda Trade Forum in Kigali 2016

Our CEO Emmanuel Kakuyu speaking at the May 2016 Tanzania-Rwanda Trade Forum in Kigali, Rwanda promoting trade between the two countries ; TATOA ; usage of trucks belonging to TATOA members and the Dar-Es-Salaam Port.
Source: Lupo Chambaka
 
UAMIMIFU WA MADEREVA MUHIMU KUVUTIA MATUMIZI YA BANDARI


Suala mtambuka linalotakiwa wadau wa bandari kama wasafirishaji wa mafuta kwa malori kuajiri madereva waaminifu ili kuvutia wateja kutumia bandari za Tanzania.

Hilo limeibuka katika mkutano wa wadau hawa muhimu ambao ni wamiliki wa malori na madereva wa malori hayo yanayofika mpaka nchi jirani walipojadili changamoto zinazofukuza wateja toka nchi jirani kupelekea kusitisha mikataba kutokana na udokozi pia michezo michafu ya baadhi ya madereva.

Wamiliki wa malori wa kiTanzania wataka mbinu ya kudhibiti wizi ktk malori ya kusafirisha mafuta inayotumika Rwanda itumike Tanzania, mbinu hiyo ni kuwa serikali ya Rwanda imepiga marufuku uuzaji mafuta kupitia mageleni na chupa, vifaa hivyo hutumika kuuzia mafuta yaliyonyonywa kutoka malori yanayosafirisha mafuta.

Source : Tanzania Drivers Media
 
MADEREVA NAO WAZUNGUMZIA CHANGAMOTO KUBWA KTK AJIRA ZAO

Kuongezeka ufanisi wa bandari mambo mengi mtambuka nje ya TPA yanatakiwa kuzingatiwa na wadau wakubwa wa bandari, serikali za mikoa, serikali kuu ya Tanzania na serikali za nchi jirani pamoja na vyombo vyake kama idara za ushuru, kodi na usalama.

Madereva wafunguka visababishi vya migomo, udokozi, malori kukaa siku sitini nje ya nchi, mishahara duni, posho duni za overstay nchi jirani zinazolipwa na matajiri waTanzania wamiliki wa malori jinsi zinavyoathiri ufanisi ktk sekta hii muhimu ya usafirishaji ambayo ni mdau mkubwa wa bandari.
Source : Tanzania Drivers Media
 
27 July 2022
Waziri mkuu Kassim Majaliwa atinga kujaribu kupata ufumbuzi sekta ya usafiri wa malori ambayo ni mdau mkubwa wa bandari

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa asema migogoro iliyopo ndani ya sekta ya malori inataka kuchafua taswira ya nchi na kupoteza wateja wanaotumia bandari za Tanzania
Source : millard ayo
 
27 July 2022
Tunduma, Tanzania

Mkuu wa mkoa wa Songwe aingilia kati changamoto ya malori ya usafirishaji yaendayo nchi jirani


Source : Jay TV Tunduma
 

TAT: Dar es Salaam Port ikidorora ni majanga​


Kwa karibu mwezi mmoja sasa Sekta ya Usafirishaji inatikiswa na migomo ya hapa na pale ya madereva. Wanahamasishana kudai mishahara, posho na ongezeko la mafuta. Wiki iliyopita Chama cha Wasafirishaji Tanzania (TAT) kiliandaa mkutano wa vyama vya usafirishaji vya TATOA na TAMSTOA kujadili suluhu ya migomo hiyo.

Makala haya ya mtandaoni yaliyoandaliwa kwa hisani ya kitengo cha televisheni ya mtandaoni cha TAT, itakayokuwa hewani karibuni, ni ya mahojiano na uongozi wa juu wa TAT kuhusu athari za dhahiri za migomo hiyo na ushauri wa jinsi ya kuitatua.

TAT kama mdau mkubwa wa kuvutia wateja kutumia bandari ya Dar es Salaam watoa ushauri wa kupata jawabu endelevu la kuzidi kuhakikisha wateja wa usafirishaji na pia bandari waendelee kuongezeka.
Source : DigitalDodoma
 

May 2022​

Malawi’s TZ port risks closure​



By Rex Chikoko in Dar Es Salaam, Tanzania
Tanzania government has warned Malawi Government that it will stop the country from operating Malawi’s cargo centre if Lilongwe continues underutilising the port and not rehabilitating it to the international standard.

This was disclosed in Dar es Salaam in Tanzania when Minister of Energy Ibrahim Matola and members of Natural Resources and Climate Change Parliamentary Committee visited the cargo centre Friday.
Being a landlocked country, Malawi relies on its neighbours such as Mozambique and Tanzania for their ports.

Government resorted to using Tanzania as its offshore port; hence, it was given land by the Tanzania government to enable a private consortium – Malawi Cargo Centres Limited (MCCL) – to build tanks at Mbeya and Dar es Salaam.

Previously, government and the consortium were responsible for the maintenance and rehabilitation of the centres but, in 2018, Public Private Partnership Commission reviewed the agreement and transferred the responsibility to the conglomerate.

The consortium, under a lease agreement, charges government to use its properties.
MCCL Chief of Operations Godfrey Chipala told the Malawi delegation that the Tanzania government has written MCCL asking it to rehabilitate the facility’s pipelines to arrest pipe bursts that are resulting in oil spills into the ocean or the Malawi dry land port risks closure.

He said in the letter the Tanzania government said the cargo centre poses a threat to the port of Dar es Salaam or even the entire city as the petrol leaks, that are frequent due to the aging of the facilities, can result in catastrophe if they catch fire.
“The lifecycle of the pipes, for example, is 20 years; however, the current facility is over 32 years old. We have been experiencing frequent pipe bursts. We ask government of Malawi to rehabilitate these facilities or the government of Tanzania will be forced to stop us from operating,” he said. Instillation

MCCL Managing Director Patrick Jere said the country hardly uses the port, a thing that concerns the Tanzanian government and has since asked Malawi to take leadership in utilising the port.
At the time of the visit, the fuel tanks, with a holding capacity of 20 million litres, had 15 million litres, of which paltry two million was for Malawi while the larger part was destined for Rwanda and Democratic Republic of Congo (DRC).

The warehouse for the dry cargo was full with copper from DRC and most part of the warehouses were sublet to other private companies.
Chairperson of the parliamentary committee Werani Chilenga said what was important for government is to take over the operation of the port which currently is in the hands of the private companies with 82 per cent shares and government through National Oil Company of Malawi (Nocma) holding 18 per cent.

Nocma Deputy Chief Executive Officer Helen Buluma said the proposal was on the table that the loan, about $2 million, which Nocma extended to MCCL for the rehabilitation of the fuel tanks be converted to shares so that government can start gaining ownership of the cargo centres.
Buluma said Malawi needs the tanks at the moment to be keeping buffer fuel as the commodity price is raising due to war in Ukraine.

“We are pushing to create stocks in Dar es salaam and Beira,” she said.
Matola said government was aware it was not getting the best of the facility, saying it will be embarrassing to the country if Malawi loses the facility that was donated by the Tanzanian government in the spirit of pan- Africanism.
“I ask the cargo centres to abide by the requirements of the Tanzanian government,” Matola said.

During their trip to the ports in 2017, members of the Parliamentary Committee of Natural Resources and Climate Change learnt that the fuel tanks could help save and make money for government.
For instance, the non-usage of the tanks at Mbeya contributes to high fuel cost as transporters move the commodity from Dar es Salaam to Lilongwe, a distance of about 1,500 kilometres.
Construction of the facility started in 1989 and ended in 1991.
However, it was decommissioned in 2015 to pave the way for rehabilitation works before being reopened in 2018.
Source : https://times.mw/malawis-tz-port-risks-closure/?amp=1
 
[emoji849][emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…