Ntambirweki again
JF-Expert Member
- Feb 25, 2022
- 213
- 191
D
Dah, ko wazalendo hatuna nchi hii? Watu weledi wapo sema hawana majinandugu yangu hata ukiweka wachungaji na maaskofu pesa itapigwa tu, TPA ndiyo jiko la nchi Mkuu msosi wote unapikwa hapo - yaani pesa inakutafuta wewe sasa ufanyaje.