Rais Samia atengua uteuzi wa Eric Hamissi, Mkurugenzi Mkuu wa Usimamizi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)

D
ndugu yangu hata ukiweka wachungaji na maaskofu pesa itapigwa tu, TPA ndiyo jiko la nchi Mkuu msosi wote unapikwa hapo - yaani pesa inakutafuta wewe sasa ufanyaje.
Dah, ko wazalendo hatuna nchi hii? Watu weledi wapo sema hawana majina
 
Unafikiri hawajui?

Unachokiona ni roho ya upigaji waliyonayo watz
 
Uzuri alimteua mwenyewe
Kweli aisee, Eric alikuwa MSCL na alifanya kazi nzuri sana ya kulifufua shirika la meli na Mama akamuhamishia bandari, ni jamaa mmoja humble sana na mchapa kazi, mama kaligusia kwenye hotuba yake leo ni kama vile anaona biashara haifanyiki vya kutosha bandari ya DSM...labda Eric anabana sana.
 
Ila bandarini ipo shida kubwa sana,nadhani ulaji wa pale ndio unaowafanya wasidumu,pesa yake ni ndefu sana,naona inafikia mahali mtu anaona wacha tu nile hata nikitumbuliwa nakuwa niko vizuri...
 
Mkuu, bandarini pale sasa hivi mizigo inajipitia free, wapigaji wanafanya yao!

Sasa ukizingatia hangaya alisema yeye siyo simba, hataki kodi za dhuruma, anataka watu walipe kodi kwa hiari.

Yani mtz umwambie alipe kodi kwa hiari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Haya matozo tuliyolundikiwa kwenye bidhaa ni matokeo ya watu kulipa kodi kwa hiari.
 
Hapo hata umchague Baba paroko ni lazima akulize tu, panashawishi. Hivi zile flow meter zimeshaanza kufanya kazi. ?
Si uliktaka viuno haoa kwamba yule alieondolewa ni sukuma gang amekomeshwa? Vipi tena?
 
Bila katiba Mpya tutateuana sana na kufukuzana sana hadi mwisho wa dahali
 
Awamu hii ya Sita ukiwa tu ni Team Mstaafu Msoga na ukijuana nae haraka sana ukimtumia Mwanae ( Naibu Waziri ) akukutanishe nae jua Umeula kwani 'Mama' hapindui kwa Mswahili.
 
Yes, tukubali tu kwamba tumeshindwa tumpe mwekezaji aendeshe ili sisi atulipe kodi yetu. Kuna muda Kagame aliomba tumpatie ili awe anatupatia kwa mwezi Trillion 1, tukagoma. 🙂
Au Kagame anatuhujumu pale ili tuonekane hatuwezi aichukue?
 
Hizi kazi kama wataendelea kuzitoa kwa kuteuwa teiwa basi watafukuzana kila siku.

Kazi za Wakurungenzi wote inatakiwa zitangazwe na wenye uwezo wanyanyiwe interview na wapewe kwa mikataba ya miaka tano 5 for a maximum of 15 years kwenye kampuni moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…