Kurmodosla
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 330
- 202
Siku akipatikana mzalendo kila kitu kitanyookaBandari alipashindwa jiwe na ubabe wake! Kuna namna panatakiwa kubadilishwa kwenye muundo wa majukumu ya utendaji pengine itasaidia!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku akipatikana mzalendo kila kitu kitanyookaBandari alipashindwa jiwe na ubabe wake! Kuna namna panatakiwa kubadilishwa kwenye muundo wa majukumu ya utendaji pengine itasaidia!!
Pale unaambiwa hakuna muda wa siasa; ni MICHONGOMA kwenda mbele 🙂Siasa za pale Bandarini ngumu sana
Kama ipi?Taasisi nyingi wanaajiriwa kwa kushindanishwa mbona napo bado pako hoi?
Kweli aisee, Eric alikuwa MSCL na alifanya kazi nzuri sana ya kulifufua shirika la meli na Mama akamuhamishia bandari, ni jamaa mmoja humble sana na mchapa kazi, mama kaligusia kwenye hotuba yake leo ni kama vile anaona biashara haifanyiki vya kutosha bandari ya DSM...labda Eric anabana sana.
Kweli aisee, Eric alikuwa MSCL na alifanya kazi nzuri sana ya kulifufua shirika la meli na Mama akamuhamishia bandari, ni jamaa mmoja humble sana na mchapa kazi, mama kaligusia kwenye hotuba yake leo ni kama vile anaona biashara haifanyiki vya kutosha bandari ya DSM...labda Eric anabana
Erick ni mpambaji sana , Mungu amtangulie huko aendako
Wala hakuna Cha kutegemea, Tanzania ni hii hii ya jana na leo tena Bora ya Jana, ya leo imejaa watu wenye tamaa.Inategemea na vile unavyobinafsisha,wao serikali wanatakiwa kubaki kwenye kusimamia kodi tu,shughuli za kutoa mizigo sekta binafsi wapewe wafanye
Hakuna mtu ataiweza bandari hatq jiwe afufuke na apewe ukurugenzi hawezi.Bandari alipashindwa jiwe na ubabe wake! Kuna namna panatakiwa kubadilishwa kwenye muundo wa majukumu ya utendaji pengine itasaidia!!
Kubinafsisha ni wazo zuri? Ni shirika lipi baada ya kubinafsisha liliendelea kuwepo?Wazo zuri Ila Nina wasiwasi na huo uthubutu wa kuwapeleka vijana wakajifunze kama utafanyiwa kazi.
Ulishawahi kujiuliza kwa nini vyama vya siasa (hususan nchini) vinachipuka kuliko kiwango cha utasibishaji wa bakteria (bacteria binary fission)? Ukipata jibu, umepata! 🙂 🙂 🙂Haya ya kuteua,kutumbua,ndio ccm wanajua!hakuna jipya,Halina tija kwa nchi maana wote watafanya kazi chini ya mfumo,
Badala ya kufsnya mambo makubwa yenye impact!punguza idadi ya wilaya,mikoa,magari,idara,Kuna haja gani ya kuwa na wilaya Tano Dar!zilikuwa tatu zamani!!
Huyo huenda hayupo TZ.inahitaji weledi wa kula mapato?!
inahitaji akili ya kula rushwa?!
hao tunao waita weledi ndio wametufikisha hapo.
Bandarini panahitaji minguvu na weledi vyote kwa pamoja. kuna mifisi maji pale haisikiii wala haiambiliki matokeao yake tunapata hasara kama taifa.
Watakwambia angalau wao wanatengua baada ya mtumishi wa umma kula urefu wa kamba yake na kutosheka.Si walisema Magufuli anakosea kutengua watu?
Wajenge bandari kubwa ya Bagamoyo,kutumbua na kitumbua hakutaleta ufanisi japo bandarini.Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Ndgu. Eric Hamisi. Nafasi yake inachukuliwa na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Ndgu. Plasduce Mkeli Mbossa.
Nashauri isifumuliwe, bali kila kitu kuanzia maji ya bahari, vyombo vya baharini vyote vinavyohusika, miundombinu, vifaa na zana zote za teknolojia na TEKNOHAMA, pamoja na nyaraka zote za serikali na mifumo ya kutunza fedha na fedha yenyewe, vihamishwe hapo, vipelekwe mbali kabisa, hata kule Dodoma ama Morogoro au Singida ndanindani huko.Bandari inatakiwa ifumuliwe kuanzia chini kabisa mpaka kileleni. Hii mambo ya kuondoa mtu mmoja mmoja huku kuacha mashina na mizizi ni ujinga tu.
Usikute ni kweli mchapakazi, kaichapa hadi imeharibika.Na akatuaminisha kuwa ni mchapakazi tofauti na aliyemkuta.
Kwa nini wasimpatie Humphrey Polepole? Unapelekaje toto la chuma ubalozi kama ule wa Malawi?Mh pale bandari sijui nani ata paweza labda wakabidhiwe Jeshi JWTZ
Yuko huku!👇👇Hivi kipande wa Jakaya yuko wapi
Utaambiwa nchi hii haihitaji mzalendo, udongo wa kuwastawisha hauna tena rutuba.Siku akipatikana mzalendo kila kitu kitanyooka
Nadhani iundwe TUME basi!Hakuna mtu ataiweza bandari hatq jiwe afufuke na apewe ukurugenzi hawezi.
Hapo ni jikoni kwq bibi kila mtu anakodolea macho.