Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Imagine serikali ishindwe, then mtu binafsi kama vile Bakhresa aweze! Hili ni tusi kubwa sana kwa wale wote waliokabidhiwa dhamana ya uongozi wa nchi.Kubinafsisha ni wazo zuri? Ni shirika lipi baada ya kubinafsisha liliendelea kuwepo?
Reli? aTCL, viwanda, TTCL? Hayo ni kwa uchache tu yaliyotokea naamini unakumbuka