Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja zaiifffffNchi hii pasua kichwa, nadhani ni muda sasa kuteua mabosi wa TPA kutoka jeshini, wajeda hawanaga longolongo Wala porojo
Pesa haimjui mjeda.Nchi hii pasua kichwa, nadhani ni muda sasa kuteua mabosi wa TPA kutoka jeshini, wajeda hawanaga longolongo Wala porojo
Huyu zwangandaba alikuwaga wa wapi?Pesa haimjui mjeda.
Pale panahitaji akili sio mibavu