Rais Samia atengua uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Wakurugenzi wa TTB na NCAA

Ila hizi lugha mnazotumia vijana wa siku hizi zinachanganya sana.

Mimi nilijua katunguliwa(kapigwa risasi) na askari wa wannyama pori. Kumbe kafukuzwa kazi!!
Hahahaha..........😁😂
 
Aahah a kwamba wahaya na wachagga si wakabila,unaishi wapi!?
Ndiyo,siyo wakabila. Naishi hapa hapa Tz mnama. Sema mnawaogopa sana hizi kabila mbili ila nikueleze tu wachagga hatuna ukabila ndo kila mkoa tunaishi tofauti na nyie waeneza chuki na ukabila. Kuna ukabila kibao tu zina ukabila kinoma na huwa naushuhudia sana tu ila naishi nao kirasta tu.
 
Kutoa Siri za wanaojenga mahotel makubwa ya kitalii ndani ya Ngorongoro imekuwa nongwa!!

CDF Mstaafu ndiye mwenyekiti wa bodi ya Ngorongoro naye Kuna eneo anajenga hotel ndani ya Ngorongoro.

Nchi ni ngumu sana
 
Huenda maza kagundua kitu karekebisha. Nahisi kwa kua mama hana uwezo kama aliyokua nao magufuli kucheki wasifu wa vigogo anapendekezewa akishatambua ukweli ndio anareact. Ni hisia tu sina hakika na nachosema wandugu.
This is a total lie
 
Lazima usome na kufanya uchunguzi wa kutosha kabla ya kuteua
 
Naunga mkono hoja.
 
Wapambe wake nao wanatakiwa waondolewe !! Wapelekwe kwingineko !!
 
Inawezekana kweli kwasababu kawatafutia Wanyarwanda wengi mashamba Katavi.

Anatabia za kwenda Rwanda kila mara sasa sijui ni matembezi au kusalimia ndugu zake na kutoa taarifa kwa PAKA.
Hii ni hatari kwa usalama wa nchi !! Mtandao mzima hadi huko Katavi inabidi utafutwe na uondolewe !
 
Kanywe mbege babu
 
Hivi unakwendaje na Dereva, Secretary na Mlinzi wako, tena wahaya wenzako, kama vile hutawakuta wafanyakazi hao, huko uendako?

Inawezekana hizo habari zili-leak hadi ofisi kubwa ya nchi na ndiyo ikawa sababu ya kutumbuliwa kwake.😁
 
Ndiyo maana wahaya,chagga na Arusha hawatakiwi kuongoza nchi,hawajastaarabika bado
Hakuna kitu cha hovyo na cha kipumbavu kama makosa/madhaifu ya mtu binafsi unahusisha Kabila lake.

Hii nchi ni ya Watz wote yenye makabila zaidi ya 120. Hao unaowaona leo hawafai ndio hao hao waliokufundisha namna ya kutumia keyboard.
 
Huyu katumbuliwa inasemakana ni wale waliwahi kutajwa na CDF kwamba si raia ila wamepewa madaraka makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…