VIDEO PICHA MAKTABA
Richard Rwanyakaato Kiiza akielekea kupanda mlima
View: https://m.youtube.com/watch?v=4Zg2PglRzrA
Richard Rwanyakaato Kiiza akielekea kupanda mlima
View: https://m.youtube.com/watch?v=4Zg2PglRzrA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha..........😁😂Ila hizi lugha mnazotumia vijana wa siku hizi zinachanganya sana.
Mimi nilijua katunguliwa(kapigwa risasi) na askari wa wannyama pori. Kumbe kafukuzwa kazi!!
Ndiyo,siyo wakabila. Naishi hapa hapa Tz mnama. Sema mnawaogopa sana hizi kabila mbili ila nikueleze tu wachagga hatuna ukabila ndo kila mkoa tunaishi tofauti na nyie waeneza chuki na ukabila. Kuna ukabila kibao tu zina ukabila kinoma na huwa naushuhudia sana tu ila naishi nao kirasta tu.Aahah a kwamba wahaya na wachagga si wakabila,unaishi wapi!?
Angemalizia Kwa kutengua UTEUZI wa mkuu wa Mkoa wa Dodoma angekuwa ameitendea CCM hakiAngetengua na uteuzi wa wazir wa maji ingekuwa poa zaid
Kutoa Siri za wanaojenga mahotel makubwa ya kitalii ndani ya Ngorongoro imekuwa nongwa!!UTEUZI: Rais Samia Sululu Hassan, ametengua Uteuzi wa Richard Rwanyakaato Kiiza, aliyekuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA).
Pia, Rais amemteua Kaspar Kaspar Mmuya kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma. Kabla ya Uteuzi, Mmuya alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
View attachment 2935666
Ndiyo maana wahaya,chagga na Arusha hawatakiwi kuongoza nchi,hawajastaarabika bado
This is a total lieHuenda maza kagundua kitu karekebisha. Nahisi kwa kua mama hana uwezo kama aliyokua nao magufuli kucheki wasifu wa vigogo anapendekezewa akishatambua ukweli ndio anareact. Ni hisia tu sina hakika na nachosema wandugu.
Kama umechoka kalaleTushachoka
Naunga mkono hoja.Kuna umuhimu wa ku-review JD ya Raisi wa Nchi, not ya JD ya Mama Samia, nazungumzia Raisi wa Nchi, hizi tengua na teua sijawahi kuona zikiwa na tija, zaidi zinaongeza gharama Tu maana hao wote wanapewa stahiki zao na baada ya muda WAnaondoshwa bila kupewa sababu za msingi.
Wapambe wake nao wanatakiwa waondolewe !! Wapelekwe kwingineko !!Kiiza kadumu katika nafasi ya Commissioner Mkuu Ngorongoro miezi mitatu katunguliwa.
Kiiza kaenda NCAA na dereva wake, Secretary wake na Mlinzi wake wote kutokea TANAPA na wote wahaya wenzake.
Leo kaondolewa sijui wapambe wake wataenda wapi,wataweka wapi nyuso zao.
Hii ni hatari kwa usalama wa nchi !! Mtandao mzima hadi huko Katavi inabidi utafutwe na uondolewe !Inawezekana kweli kwasababu kawatafutia Wanyarwanda wengi mashamba Katavi.
Anatabia za kwenda Rwanda kila mara sasa sijui ni matembezi au kusalimia ndugu zake na kutoa taarifa kwa PAKA.
Kanywe mbege babuNdiyo,siyo wakabila. Naishi hapa hapa Tz mnama. Sema mnawaogopa sana hizi kabila mbili ila nikueleze tu wachagga hatuna ukabila ndo kila mkoa tunaishi tofauti na nyie waeneza chuki na ukabila. Kuna ukabila kibao tu zina ukabila kinoma na huwa naushuhudia sana tu ila naishi nao kirasta tu.
Hivi unakwendaje na Dereva, Secretary na Mlinzi wako, tena wahaya wenzako, kama vile hutawakuta wafanyakazi hao, huko uendako?Kiiza kadumu katika nafasi ya Commissioner Mkuu Ngorongoro miezi mitatu katunguliwa.
Kiiza kaenda NCAA na dereva wake, Secretary wake na Mlinzi wake wote kutokea TANAPA na wote wahaya wenzake.
Leo kaondolewa sijui wapambe wake wataenda wapi,wataweka wapi nyuso zao.
Ubaguzi mkubwa Tanzania ni uchama... Kama huna kadi ya chama fulani sahau uteuziHiyo fact,Racism sio lazima iwe ubaguzi wa rangi hata ukabila ni Racism,wabadilike
Hiyo ndo asili yetu,isembo weweKanywe mbege babu
Hakuna kitu cha hovyo na cha kipumbavu kama makosa/madhaifu ya mtu binafsi unahusisha Kabila lake.Ndiyo maana wahaya,chagga na Arusha hawatakiwi kuongoza nchi,hawajastaarabika bado