Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo

Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo

20240419_000445.jpg

Pia Soma

- Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

- Kiongozi wa Halmashauri Mafia adaiwa kumbaka Dada wa kazi. Je, Utenguzi alifanya Rais unahusiana na tukio hili?

- Polisi Mafia wamchunguza DED aliyetenguliwa na Samia
 
Ni aibu kubwa kwa makada hawa wa chama dola kongwe.

Mwl. Kassim S. Ndumbo
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia 31 Julai, 2021
Kumbe walimu huwa tunakumbukwa?
 
Kwani huyo mkurugenzi ni polisi?
Leo kwenye mitandao kumesambaa habari za tukio la kigogo mmoja huko Mafia kubaka mtoto wa miaka 16.

At the same usiku huu imetoka press ya Zuhura Yunusu kwamba Mhe. Rais ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Huko Mafia....

Je, anahusika au alishiriki kuficha uovu?
 
Halafu atateua mwingine boya kama huyo , mnatusumbua tu
Uboya unaonekanaje bila ya kufanya kosa?!!!

Hivi hata mwenye CV nzuri hawezi kufanya "gravious mistake"?!!

Mh.Rais ana "presidential decree"...

#SiempreJMT[emoji7]
 
Back
Top Bottom