Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo

Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo

Ni aibu kubwa kwa makada hawa wa chama dola kongwe.

Mwl. Kassim S. Ndumbo
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia 31 Julai, 2021
Raha ya karma hii Sasa,huyu Mwl atakuwa alizoea kula wanafunzi Sasa hivi karma imejibu
 
Wewe n

Wewe ni mjinga sana,yani umekaa hapo Mbezi Msumi unahisi nchi yote imelala,chadema inakalia kuandamanisha wehu wenzao,miradi mipya ni kama Ujenzi wa nyumba za wafanyakazi,
Unajua bila ya Mwanachadema Boniphace Jacob kutag Gwajima hiyo ishu ilikuwa imeshakwisha... Au huko Mafia nzima hakuna CCM?

Bandiko la Jacob linaonesha kuwa jambo hili lilikuwa linajulikana ila DED akawa analindwa. Sasa wana CCM ilikuwaje walikaa Kimya wakati taarifa kwamba DED kabaka walikuwa nazo?
 
Mwanangu Kasim km uko humj unakumbuka kwenye mti wa mdegree chuo x pale Moshi!

Pole sana pengine umepigwq zengwe tu.
 
Unajua bila ya Mwanachadema Boniphace Jacob kutag Gwajima hiyo ishu ilikuwa imeshakwisha... Au huko Mafia nzima hakuna CCM?

Bandiko la Jacob linaonesha kuwa jambo hili lilikuwa linajulikana ila DED akawa analindwa. Sasa wana CCM ilikuwaje walikaa Kimya wakati taarifa kwamba DED kabaka walikuwa nazo?
Kwa hili ninakubaliana na wewe,ninachopinga ni uzushi usio na ushahidi,kuibua maovu ni hulka ya mtu,maana yake ni kuwa tunatakiwa kuwa na data mara nyingi tunapotoa hoja zetu,propaganda ziwe chache.
Hongera kwa boniyai..
 
Leo kwenye mitandao kumesambaa habari za tukio la kigogo mmoja huko Mafia kubaka mtoto wa miaka 16.

At the same usiku huu imetoka press ya Zuhura Yunusu kwamba Mhe. Rais ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Huko Mafia....

Je, anahusika au alishiriki kuficha uovu?
Kama ni kweli huyo Mkurugenzi ni Mpumbavu
 
Back
Top Bottom