Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo

Leo kwenye mitandao kumesambaa habari za tukio la kigogo mmoja huko Mafia kubaka mtoto wa miaka 16.

At the same usiku huu imetoka press ya Zuhura Yunusu kwamba Mhe. Rais ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Huko Mafia....

Je, anahusika au alishiriki kuficha uovu?
 
Ni aibu kubwa kwa makada hawa wa chama dola kongwe.

Mwl. Kassim S. Ndumbo
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia 31 Julai, 2021
Kumbe walimu huwa tunakumbukwa?
 
Kwani huyo mkurugenzi ni polisi?
 
Halafu atateua mwingine boya kama huyo , mnatusumbua tu
Uboya unaonekanaje bila ya kufanya kosa?!!!

Hivi hata mwenye CV nzuri hawezi kufanya "gravious mistake"?!!

Mh.Rais ana "presidential decree"...

#SiempreJMT[emoji7]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…