Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo

Sawa
 
CC:Waziri Gwajima
Tungependa Kuona Sana Sana Comment Yako Chap Na Kauli Ya Serikali
Waziri Gwajima hawezi kutia mguu hapa....

Wala RPC, wala DPP, wala Waziri wa Mambo ya Ndani... wanasubiri kichaa kabaka kuku mpaka kamuua, mwalimu kabaka mtoto kwa pipi na soda, labda watatoa statement uchwara....

Eti serikali ina mkono mrefu, uko wapi ? Vi mamlaka vya kidikteta uchwara hivi, hawamuwezi hata mkurugenzi child rapist
 
Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo

View attachment 2967743
Huyo Mkurugenzi anakwenda wizarani kusoma magazeti hapungizwi mshahara wake maana ni mtumishi wa Umma ataendelea kulipwa mshahara wake kama wengine!
 
Wewe n
CCM inapokea zaidi ya 2B per month ruzuku, lakini ulivyo mjinga hujawahi huhoji zinaenda wapi? tuonyeshe mradi mpya ulioanzishwa na CCM tangu 2015
Wewe ni mjinga sana,yani umekaa hapo Mbezi Msumi unahisi nchi yote imelala,chadema inakalia kuandamanisha wehu wenzao,miradi mipya ni kama Ujenzi wa nyumba za wafanyakazi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…