Rais Samia ateua Mwenyekiti wa Bodi ya SIDO

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Mhandisi Musa Ally Nyamsingwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO).

Mhandisi Nyamsingwa ni Mkurugenzi wa Idara ya Barabara Kuu na Usafirishaji, Kampuni ya NORPLAN Tanzania Limited.

Uteuzi huu umeanza tarehe 07 Februari, 2023.

6DB9C107-E0AD-4F25-AA37-CFE18916859E.jpeg
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Mhandisi Musa Ally Nyamsingwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO).

Mhandisi Nyamsingwa ni Mkurugenzi wa Idara ya Barabara Kuu na Usafirishaji, Kampuni ya NORPLAN Tanzania Limited.

Uteuzi huu umeanza tarehe 07 Februari, 2023.

View attachment 2511728
Safi.
 
Wakina ally na amina safari hii kila kona

Huko Norplan si ndiko alikomtoa yule ustadh aliyempa cheo kuwa Director General wa National Housing!!! Zamu Yao wacha wakombe Asali mradi mambo yakiharibika wasituombe tuanze kuwaombea; itabidi wajiombee wenyewe!
 
Back
Top Bottom