Rais Samia atimiza ahadi na kuwakabidhi Yanga FC milioni 15 uwanjani

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Wakuu,

Kupitia Waziri wa Michezo Pindi Hazara Chana, kama mwakilishi wa Rais Samia usiku wa leo katika uwanja wa Taifa, ametimiza ahadi yake ya kuikabidhi timu ya wananchi Yanga FC kitita cha milioni 15 cash na mfuko wa kubebea pesa hiyo kama ahadi yake ya kununua kila goli kwa milioni 5 ambapo Yanga amemnyuka TP Mazembe jumla ya magoli matatu hivo kutimiza milioni 15.

Hongera Rais Samia kwa uungwana wako kwa timu ya Yanga.

Hatupangiani wandugu. Ila hizi pesa ni zake binafsi au za umma? Mwongozo tafadhali;

Hawa ndiyo majority ya watanzania: "abject poverty!"
 
View attachment 2523478

Kwenye kusaidia masikini tupo na kwenye kutoa zawadi kwa yeyote aliyefanya vizur pia tupo , hatukisinyazi kilichosinyaa na kukifubaza kinachong’aa - nchi sio ya wajinga peke yao hii na waelevu pia wapo
 
Mbona swali hukujibu mjomba?

"Pesa ni zake mfukoni au za umma?"

Kulikoni kulikimbia swali? Kwani una nini cha kuficha?
 
kuna timu imegongwa hizo hizo bao 3 sasa sijui rais awape waarabu mil 15!
 
Mbona swali hukujibu mjomba?

"Pesa ni zake mfukoni au za umma?"

Kulikoni kulikimbia swali? Kwani una nini cha kuficha?

Sasa hapo utajibu nn? Sasa Kwa mfano za umma wewe una uhakika gani? Au zake wewe utajuaje! Sasa yeye kama katoa zawadi sisi tunajua zake sasa hiyo za umma wewe hiyo taarifa kaukupa nan?
 
La msingi kusikia huna jibu wala hujui mpaka wa pesa za rais kutoka kwenye pesa za umma.

Hii haikubaliki sababu nyingine Kwa nini katiba mpya ni muhimu na dharura sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…