Wakuu,
Kupitia Waziri wa Michezo Pindi Hazara Chana, kama mwakilishi wa Rais Samia usiku wa leo katika uwanja wa Taifa, ametimiza ahadi yake ya kuikabidhi timu ya wananchi Yanga FC kitita cha milioni 15 cash na mfuko wa kubebea pesa hiyo kama ahadi yake ya kununua kila goli kwa milioni 5 ambapo Yanga amemnyuka TP Mazembe jumla ya magoli matatu hivo kutimiza milioni 15.
Hongera Rais Samia kwa uungwana wako kwa timu ya Yanga.