Ni mwendo wa kujisafisha sasa hivi na kujifanya mwema na mwenye huruma mpaka kieleweke.
=====
Your browser is not able to display this video.
Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imetoa gari jipya la kuhudumia wagonjwa lenye usajili wa STN 3638 kwa Kituo Cha Afya cha Migoli ili kuendelea kurahisisha na kuboresha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) William Lukuvi (Mb) Isimani amemkabidhi gari hilo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Bwn. Robert Masunya leo tarehe 24/11/2024 wakati wa ziara ya kikazi katika vijiji vya Kinyari Mbweleli, Makatapora, Mtera na Migoli.
Amefafanua kwamba Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani kazi yake ni kuleta vitu na kujenga miundo mbinu kwa ajili ya kuhudumia wananchi wote hivyo hatuna budi kumshukuru na kumpongeza kwa kazi njema.
Kero na malalamiko wanayoyatoa wa Tanzania kuhusu changamoto kwenye Sekta ya Afya moja ya sababu ni Mifumo iliyowekwa huko nyuma kusimamia afya na kum chagua Mtu ambae hana maono / jicho la kutambua kero na Hajasomea Afya kusimamia Sekta ya Afya. Kwani yeye sio Daktari na hajawahi hashinda...
Huku kwetu uchaguzi wa serikali za mtaa wagombea wametufanyia usafi nyumba zetu na chakula wametupikia. Sahivi naona ndo wana kusanya nguo zetu wakazifue
Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imetoa gari jipya la kuhudumia wagonjwa lenye usajili wa STN 3638 kwa Kituo Cha Afya cha Migoli ili kuendelea kurahisisha na kuboresha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi (Mb) Isimani amemkabidhi gari hilo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Bwn. Robert Masunya leo tarehe 24/11/2024 wakati wa ziara ya kikazi katika vijiji vya Kinyari Mbweleli, Makatapora, Mtera na Migoli.
Amefafanua kwamba Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani kazi yake ni kuleta vitu na kujenga miundo mbinu kwa ajili ya kuhudumia wananchi wote hivyo hatuna budi kumshukuru na kumpongeza kwa kazi njema.
Nilibahatika kwenda sehemu moja inaitwa Idodi Iringa kunasikitisha kuulizia Mbunge wake nikaambiwa Lukuvi, ni sehemu ambayo wanaishi Wahehe, Wamasai, na Wasukuma yaani kuna umasikini wa kutupa
Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imetoa gari jipya la kuhudumia wagonjwa lenye usajili wa STN 3638 kwa Kituo Cha Afya cha Migoli ili kuendelea kurahisisha na kuboresha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi (Mb) Isimani amemkabidhi gari hilo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Bwn. Robert Masunya leo tarehe 24/11/2024 wakati wa ziara ya kikazi katika vijiji vya Kinyari Mbweleli, Makatapora, Mtera na Migoli.
Amefafanua kwamba Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani kazi yake ni kuleta vitu na kujenga miundo mbinu kwa ajili ya kuhudumia wananchi wote hivyo hatuna budi kumshukuru na kumpongeza kwa kazi njema.
Kawaida ambyulensi huwa na kitanda na vifaa vya tiba ya huduma ya kwanza, sasa hizi ambyulensi za Tanzania zenye viti viwili nyuma vya mfumo wa chaimaharage si ambyulensi, wajanja wanaweka msalaba tu kwenye milango na kuwadanganya wananchi.
Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imetoa gari jipya la kuhudumia wagonjwa lenye usajili wa STN 3638 kwa Kituo Cha Afya cha Migoli ili kuendelea kurahisisha na kuboresha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi (Mb) Isimani amemkabidhi gari hilo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Bwn. Robert Masunya leo tarehe 24/11/2024 wakati wa ziara ya kikazi katika vijiji vya Kinyari Mbweleli, Makatapora, Mtera na Migoli.
Amefafanua kwamba Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani kazi yake ni kuleta vitu na kujenga miundo mbinu kwa ajili ya kuhudumia wananchi wote hivyo hatuna budi kumshukuru na kumpongeza kwa kazi njema.
Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imetoa gari jipya la kuhudumia wagonjwa lenye usajili wa STN 3638 kwa Kituo Cha Afya cha Migoli ili kuendelea kurahisisha na kuboresha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi (Mb) Isimani amemkabidhi gari hilo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Bwn. Robert Masunya leo tarehe 24/11/2024 wakati wa ziara ya kikazi katika vijiji vya Kinyari Mbweleli, Makatapora, Mtera na Migoli.
Amefafanua kwamba Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani kazi yake ni kuleta vitu na kujenga miundo mbinu kwa ajili ya kuhudumia wananchi wote hivyo hatuna budi kumshukuru na kumpongeza kwa kazi njema.
Milioni 700 kwa Stars inastahili sana, tatizo letu wabongo ni akili zetu kufanana na nzi ndani ya chupa, uwezo wa kutazama ulimwengu mpana ni mdogo sana kwetu.
Mpira wetu bado upo chini na sababu ni hizi akili hasi zenye kujaa kila aina ya ushamba.
Milioni 700 kwa Stars inastahili sana, tatizo letu wabongo ni akili zetu kufanana na nzi ndani ya chupa, uwezo wa kutazama ulimwengu mpana ni mdogo sana kwetu.
Mpira wetu bado upo chini na sababu ni hizi akili hasi zenye kujaa kila aina ya ushamba.
Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imetoa gari jipya la kuhudumia wagonjwa lenye usajili wa STN 3638 kwa Kituo Cha Afya cha Migoli ili kuendelea kurahisisha na kuboresha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) William Lukuvi (Mb) Isimani amemkabidhi gari hilo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Bwn. Robert Masunya leo tarehe 24/11/2024 wakati wa ziara ya kikazi katika vijiji vya Kinyari Mbweleli, Makatapora, Mtera na Migoli.
Amefafanua kwamba Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani kazi yake ni kuleta vitu na kujenga miundo mbinu kwa ajili ya kuhudumia wananchi wote hivyo hatuna budi kumshukuru na kumpongeza kwa kazi njema.
Fanya utafiti wa kina kwenye mataifa yenye vijana wanaopenda kufanya mazoezi kama Senegal na Cameroon kwa kuwalinganisha na mataifa yenye vijana wengi walevi na wacheza kamari kama Tanzania utaiona tofauti kubwa sana.