Pre GE2025 Rais Samia atoa ambulance kituo cha afya, Lukuvi aikabidhi. Ni mwendo wa kujifanya mwema tu kipindi hiki!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu,

Ni mwendo wa kujisafisha sasa hivi na kujifanya mwema na mwenye huruma mpaka kieleweke.

=====

Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imetoa gari jipya la kuhudumia wagonjwa lenye usajili wa STN 3638 kwa Kituo Cha Afya cha Migoli ili kuendelea kurahisisha na kuboresha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi.

Kupata taarifa na matukio yote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) William Lukuvi (Mb) Isimani amemkabidhi gari hilo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Bwn. Robert Masunya leo tarehe 24/11/2024 wakati wa ziara ya kikazi katika vijiji vya Kinyari Mbweleli, Makatapora, Mtera na Migoli.

Amefafanua kwamba Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani kazi yake ni kuleta vitu na kujenga miundo mbinu kwa ajili ya kuhudumia wananchi wote hivyo hatuna budi kumshukuru na kumpongeza kwa kazi njema.

Kwa vimbwanga na vituko vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Tusivyo jielewa tutawapigia kula/kura!
Sisi mazombie kabisa...
 
Ni wapi huko Mkuu?
Nimekuja kupakia mbao Njombe huku, nimepanga-Appartment hapa mtaa wa Uzunguni, jana nimeteleza sana na Gari wakati narudi usiku, Barabara imechimbwa na kumwagia maji, halafu si unajua Miteremko ya Njombe, kuteleza....

Majirani zangu hapa wananiambia imechimbwa hiyohiyo jana na kumwagiwa maji, Leo katika pitapita zangu nimeona wako pahala wanapiga kampeni eti Wamechimba mpaka barabara, nimeshangaa sana yaani imechimbwa ajili ya kampeni tu mkuu...

🤔🤔🤔 Verysad 😭😭
 
Milioni 700 kwa Stars inastahili sana, tatizo letu wabongo ni akili zetu kufanana na nzi ndani ya chupa, uwezo wa kutazama ulimwengu mpana ni mdogo sana kwetu.

Mpira wetu bado upo chini na sababu ni hizi akili hasi zenye kujaa kila aina ya ushamba.
Sijakuelewa. Ni sahihi kutoa zawadi ya tshs million 700 kwa taifa stars kuliko kutoa kipaombele kwa shule ambazo hazina madawati au hospitali ambazo mgonjwa hawezi kupata panadol ya bure.
 
Wakuu,

Ni mwendo wa kujisafisha sasa hivi na kujifanya mwema na mwenye huruma mpaka kieleweke.

=====

Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imetoa gari jipya la kuhudumia wagonjwa lenye usajili wa STN 3638 kwa Kituo Cha Afya cha Migoli ili kuendelea kurahisisha na kuboresha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi.

Kupata taarifa na matukio yote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) William Lukuvi (Mb) Isimani amemkabidhi gari hilo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Bwn. Robert Masunya leo tarehe 24/11/2024 wakati wa ziara ya kikazi katika vijiji vya Kinyari Mbweleli, Makatapora, Mtera na Migoli.

Amefafanua kwamba Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani kazi yake ni kuleta vitu na kujenga miundo mbinu kwa ajili ya kuhudumia wananchi wote hivyo hatuna budi kumshukuru na kumpongeza kwa kazi njema.

Kwa vimbwanga na vituko vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hahaaa wajinga, itawabeba raia Bure? au ndii mambo ya kukipishwa laki 2 hadi 4?

Na kwa Huyo Samia ana pesa nyingi kuliko Serikali?
 
Sijakuelewa. Ni sahihi kutoa zawadi ya tshs million 700 kwa taifa stars kuliko kutoa kipaombele kwa shule ambazo hazina madawati au hospitali ambazo mgonjwa hawezi kupata panadol ya bure.
Shule zina wizara ya elimu yenye kutakiwa kuzitafutia bajeti baada ya kuzifahamu, Shule ni wajibu wa Profesa Mkenda.

Unajua zimeshajengwa shule ngapi za msingi na sekondari tangu Samia aingie ikulu mwaka 2021?.

Michezo ina wizara yake pia, maana yake ni kipaumbele katika suala zima la sera za nchi.

Umeshajiuliza ni kiasi gani cha pesa kinachoingia kwenye mechi za Simba na Yanga pale uwanja wa Taifa?. Fanya utafiti wa kina uweze kuufahamu mchango wa michezo kwenye uchumi mkuu wa Tanzania.

Punguzeni hizi nongwa za kitoto.
 
Kwanini grader iingie siku ya uchaguzi halafu leo kwenye kampeni wananadi kwamba wametuchimbia na barabara, sisi sio wapumbavu hivyo ...
Serikali inashughulika na yote yaliyomo ndani ya eneo la mita za mraba laki tisa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, haishughuliki na huo mtaa wenu pekee.

Kuna suala la kuwatafutia masoko ya bidhaa wakulima wa nchi nzima, Kuna suala la kuhakikisha zinakuwepo ndege za ATCL zinazotua katika viwanja vya ndege vilivyo tayari kutumika.

Yapo mengi yanayofanywa na serikali kwa wakati mmoja.
 
Ww acheni siasa za kijinga,huyu mama amefanya mapinduzinmakubwa sana kwenye afya na Elimu na demokrasia shida yako ni umeharibiwa na siasa za chadema za chuki na unafiki
 
Serikali inashughulika na yote yaliyomo ndani ya eneo la mita za mraba laki tisa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, haishughuliki na huo mtaa wenu pekee.

Kuna suala la kuwatafutia masoko ya bidhaa wakulima wa nchi nzima, Kuna suala la kuhakikisha zinakuwepo ndege za ATCL zinazotua katika viwanja vya ndege vilivyo tayari kutumika.

Yapo mengi yanayofanywa na serikali kwa wakati mmoja.
🚮🚮
 
Shule zina wizara ya elimu yenye kutakiwa kuzitafutia bajeti baada ya kuzifahamu, Shule ni wajibu wa Profesa Mkenda.

Unajua zimeshajengwa shule ngapi za msingi na sekondari tangu Samia aingie ikulu mwaka 2021?.

Michezo ina wizara yake pia, maana yake ni kipaumbele katika suala zima la sera za nchi.

Umeshajiuliza ni kiasi gani cha pesa kinachoingia kwenye mechi za Simba na Yanga pale uwanja wa Taifa?. Fanya utafiti wa kina uweze kuufahamu mchango wa michezo kwenye uchumi mkuu wa Tanzania.

Punguzeni hizi nongwa za kitoto.
Waziri mwenye dhamana na michezo naye angeomba budget kama Prof Mkenda kuendeleza michezo na siyo vinginevyo kwa sababu hizi ni hela za kodi zetu. Kwa hoja yako hii narudia tena,sijakuelewa.
 
Timu ya Taifa iliyofuzu AFCON 2025 kule Morocco inaweza kuwa na makocha, madaktari na wachezaji kwa maana ya watu 40 wanaogawana hiyo milioni 700, kila mmoja anaweza kuondoka na shilingi milioni 17.

Ina maana wewe unaumia sana watanzania wenzako 40 kugawana milioni 700 baada ya kufuzu kushiriki michuano mikubwa zaidi ya mpira wa miguu barani afrika!!?.

Unalalamikia kodi yako kutumiwa na watanzania wenzako!, vipi kuhusu kodi yako inayoibiwa kila kukicha na wataalam mbalimbali kwenye mawizara na taasisi?.

Watanzania tuna roho za kichawi sana, Mungu atufanyie wepesi.
 
Sijakutaka utoe mchanganuo wa mgao wa hiyo hela. Kipao mbele cha kugawa tshs 700 na kuacha mambo nyeti zaidi kwa watanzania wote ndio hoja. Mtu akiwa na mtizamo tofauti na wako ndio useme watanzania ni wachawi. SIKUELIWI KABISA
 
Mambo nyeti hayawezi kuachwa, na ndio sababu ya Samia kuwepo pale ikulu.

Michezo ni masuala nyeti sana. Usain Bolt kwa medali zake za dhahabu alizopata kwenye mashindano ya olimpiki leo hii Jamaica ni maarufu duniani.

Pia michezo inayo wizara inayojitegemea. Ni lazima ipewe heshima yake siku zote.
 
SIJAKUELEWA
 
Rushwa rushwa kwenda mbele. Ukiona hivi hafai. Kwanini sasa tunapoelekea uchaguzi? Je hiyo pesa ni yake? Ingependeza kama Abduli angekabidhi hiyo ambulance.
 
Back
Top Bottom