Rais Samia atoa Bilioni 4 kwa ajili ya ujenzi wa Chuo cha Ualimu Sumbawanga

Rais Samia atoa Bilioni 4 kwa ajili ya ujenzi wa Chuo cha Ualimu Sumbawanga

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Rais wa awamu ya sita Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amenyamazisha simulizi za kukata tamaa zilizotolewa na Vijana wengi waliokosa fursa ya kujiendeleza kimasomo, kutokana na ukosefu wa Vyuo vya kutosha katika Mkoa wa Rukwa na Mikoa jirani.

Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa kiasi cha shilingi Bilioni 4, kwa ajili ya Ujenzi wa Chuo cha Ualimu Sumbawanga, ambacho tayari ujenzi wake umekamilika na tayari kimepokea Wanafunzi.

Watu kama nyinyi ndio huwa mnafanya viongozi waone tatizo limeisha kumbe bado lipo jingi tu

Nyie ndio mlikuwa mnasema jambo la umeme limeisha na leo from no where tunanunua umeme wa kwenda kaskazini
 
Rais wa Awamu ya Sita, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amenyamazisha simulizi za kukata tamaa zilizotolewa na Vijana wengi waliokosa fursa ya kujiendeleza kimasomo, kutokana na ukosefu wa Vyuo vya kutosha katika Mkoa wa Rukwa na Mikoa jirani.

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa kiasi cha shilingi Bilioni 4, kwa ajili ya Ujenzi wa Chuo cha Ualimu Sumbawanga, ambacho tayari ujenzi wake umekamilika na tayari kimepokea Wanafunzi.
 
Ametoa rais yaani ni zake au imetoa serikali kutokana na kodi wazolipa wananchi na mapato ya nchi?
 
Back
Top Bottom