Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Tunaendelea kuangalia meno ya TAKUKURU na msajili wa vyama vya siasa!
Pia soma: Pre GE2025 - Hizi ndizo zawadi, misaada na michango iliyotolewa na Rais Samia tangu aingie Ikulu. Ni maandalizi ya Urais 2025?
=====
Rais Samia amekabidhi kiasi cha shilingi Milioni 200 ikiwa ni ahadi aliyoitoa kwaajili ya kusaidia ujenzi wa uzio katika makaburi ya Sharif Haider yaliyopo eneo la Msambweni jijini Tanga.
Mfano wa hundi hiyo imekabidhiwa na Mjumbe wa Kamati kuu na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga Rajabu Abdallah baada ya kumalizika kwa swala ya Ijumaa katika Msikiti mkuu wa ijumaa wa Mkoani hapa ambao aliweka jiwe la Msingi kwaajili ya upanuzi wa msikiti huo na kupokea ombi la ujenzi wa uzio wa makaburi ya Msambweni.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Taasisi ya Sharif Haider Wakf Tanga Sharif Ally Swalehe wanamshukuru Rais kwa kutimiza ahadi yake ya kutoa kiasi hicho cha Shilingi milioni 200 ambacho kinakwenda kutumika katika
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mjumbe wa Kamati kuu na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga Rajabu Abdallah baada ya kukabidhi mfano wa hundi hiyo ya shilingi milioni 200 amesema Rais amewasaidia wananchi na waumini wa msikiti huo, kwasababu ana upendo wa wananchi wake.
Rais Samia Suluhu Hassan alitoa ahadi ya kutoa shilingi milioni 200 kwa taasisi hiyo, alipofanya ziara mkoani Tanga Februari 26, mwaka huu na kuweka jiwe la msingi kwa ujenzi wa msikiti huo.
Pia soma Pre GE2025 - Rais Samia aweka Jiwe la Msingi Upanuzi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa Tanga Februari 26, 2025