kwakina itafakari
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 618
- 1,258
tuko vizr kama umechek mpira utaona ..............tumeposses sana mpira kuliko congo, tumepiga shuti nnyng on target kuliko congo,......................tumecheza vizur SEMA HATUKUA NA BAHATI kwasababu,,,,,
1 congo inawachezaji wakali wanaocheza ulaya
2. uchawi congo hatuwawezi🤣🤣🤣🤣🤣
[/QU
😅😅😅😅 mule mule
hahaha hizi siasa zitatutesa sana, yaan kila kitu kinapofanyika lazima watu tugawanyike tuombeane viharibike ili tupate kukosoa na kuponda, yaan mtu anaona heri tu timu ifungwe maana ikishinda labda rais atapata sifa duh! wabongo tumefika mbali sana aisee
Nilisema Stars hawawezi kufuzu hizo hela bora wawatafute vijana waandae mkeka wabeti zinaweza kuzalisha trilions haya sasa nini kimetokea🐒
Zuzu wewe
Ili wazo washahuri wa Mama Samia walifikirie.Nilisema Stars hawawezi kufuzu hizo hela bora wawatafute vijana waandae mkeka wabeti zinaweza kuzalisha trilions haya sasa nini kimetokea🐒