Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Rais Samia Suluhu Hassan ameungana na familia, viongozi na waombolezaji katika Ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Marehemu Dkt. Faustine Ndugulile, katika Viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam.
Pia, Soma:
Pia, Soma:
- Dkt. Faustine Ndugulile aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia
- Dkt. Tulia: Dkt. Faustine Ndugulile ametuachia simanzi kubwa