Rais Samia avunja rekodi ununuzi wa ambulance na magari ya Chanjo

Hii haijawahi kutokea kwenye historia ya Tanzania,
 
 
Tutafika tena kwa kuwahi sanaaw
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
 
We toilet paper unatuchosha na usifia kijinga hivyo
Hivi mkuu hii kitu imetoka wapi?, Yaani siielewi kabisa, inakuja na mabandiko ya ajabu ajabu au ndiyo wale wanaopewa kiahika uchumba kuja kuandika lolote kwa ajili yao!.
 
Mikopo na tozo ni pesa za ndani
Magufuli alinunua kwa fedha za ndani, nyie mnanunua hivyo vitu kwa pesa za mkopo na Tozo. Pesa za Mkopo siyo kipimo cha utendaji
 
CCM kuna mtu amewaloga, miaka 60 ya uhuru mnaongelea
1. Ununuzi wa ambulance?
2. Ujenzi wa madarasa na matundu ya vyoo?
3. Ujenzi wa zahanati na vituo vya afya?
4. Ujenzi wa barabara kwa kiwango cha changarawe?
5. Kuzurura kwenda kuomba misaada na mikopo?
6. Kutengemea fedha Za uviko 19 kuleta maendeleo?
7. Kutumia ikulu mbili nchi inayotengemea misaada na mikopo ya wahisani?
Nimetafakari sana
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Magufuli alinunua kwa fedha za ndani, nyie mnanunua hivyo vitu kwa pesa za mkopo na Tozo. Pesa za Mkopo siyo kipimo cha utendaji
Ndio alivyo kuwa anawadanganya nyie wajinga sasa deni la taifa liliongezeka mara 3 ya awamu za wenzie pesa zilienda wapi? Acheni ujinga.
 
Ndio alivyo kuwa anawadanganya nyie wajinga sasa deni la taifa liliongezeka mara 3 ya awamu za wenzie pesa zilienda wapi? Acheni ujinga.
Tuwekee deni la Taifa lilitoka kiasi gani mpaka kufika kiasi gani?
 
Tunajivunia kwa hakika
 
Najaribu kuwaza kwa Sauti kama sio Rais Samia Suluhu leo Tanzania tungekuwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…