Rais Samia avunja rekodi ununuzi wa ambulance na magari ya Chanjo

Rais Samia avunja rekodi ununuzi wa ambulance na magari ya Chanjo

Hivi kwanini unapenda kufufua Old news bila mantiki?Nyuzi hufufuliwa kama rejea Kwa kuhusianisha na current issues!
Unachofanya ni kutunyima fursa ya kuona mabandiko mengine hasa Kwa sisi ambao tukiingia JF tunaangalia page ya kwanza tu!
Kwako ni Old kwa wengine ni "New"
 
Mkuu kama watu wengine wakiamua kazi ni Moja tu,kila saa kufukua nyuzi za zamani zenye mlengo Fulani, jukwaa hili litakuwa la ajabu sana!
Mkuu nyuzi zangu ni " Analytical " yaani kila siku ni mpya,

Ndio maana huwezi kukuta mimi nadeal na habari za msimu,

Uzi wangu unaweza ishi hadi miaka 10 ijayo,

Jaribu kunifuatilia kwa umakini mkubwa,
 
Mkuu nyuzi zangu ni " Analytical " yaani kila siku ni mpya,

Ndio maana huwezi kukuta mimi nadeal na habari za msimu,

Uzi wangu unaweza ishi hadi miaka 10 ijayo,

Jaribu kunifuatilia kwa umakini mkubwa,
Sina muda wa kukufuatilia,ila ninachosema Huo mchezo unaofanya sio afya Kwa jukwaa letu pendwa!
Unakuta unafufua Uzi,unajikuta ni wewe pekee umecomment siku hiyo!Kesho unarudia Tena kuufufua,kesho kutwa hivyo hivyo!Acha habari mpya zije,kama unazo habari mpya leta tutachangia!
Sasa magari yameshanunuliwa,unataka tujadili mwaka mzima magari yaliyokwishanunuliwa?
Magufuli aliweka record yake Kwa kununua ndege,zikavuta hisia za watu sana!Je,unaona nyuzi za ununuzi wa ndege zikifufuliwa hapa kila wakati?Watu wafufue nyuzi za ndege, ujenzi wa Barbara,madaraka,vivuko,hospitali,zahanati,maji,umeme NK!Hili jukwaa litakuwa la namna gani?
Lete vitu vipya,ikitokea Kuna uhusiano wa mazingira ya Sasa na tukio lililowahi kurepotiwa hapa JF,ndio uende kufufua Uzi na uoneshe uhusiano Huo!
 
Bahati mbaya sana mimi nathamini sana "Viewers " sio commentetous so kila mtu ashinde mechi zake,

Am The One nafanya Uzalendo kwa vitendo kwa nchi yangu humu JF,

NAJUA CHADEMA TUMEWAKABA SANA KWA HOJA HAPA SO LAZIMA MTANGETANGE
 
Maajabu ya awamu ya Sita ya Rais Samia Suluhu Tanzania imeagiza Jumla ya ambulance mpya 395 na magari mapya 214 kwa ajili ya chanjo kwa mpigo kitu ambacho hakijawahi kufanyika tangu tuwe huru kama Taifa,​

===
Mtakumbuka awamu ya tano kwa miaka yote mitano tulifanikiwa kununua jumla ya ambulance 117,awamu hii ya Sita ya Rais Samia Suluhu Hassan tayari tumeagiza ambulance zingine brand new 395 na magari ya Chanjo 214,

Rais anayethamini na kulinda Utu na Uhai wa Watanzania wote bila kujali dini, kabila, rangi wala kanda kwa kutumia fedha ya kisisimua uchumi ( Economic Stimulus relief fund ) toka IMF ameagiza zinunuliwe Jumla ya Toyota Land cruiser ambulance mpya 395 pamoja na magari mapya 214 kwaajili ya Chanjo aina zote 15 ikiwemo chanjo ya Covid-19,kama mambo ni haya basi kumbeza Rais Samia nikujitafutia laana za bure kwa Mungu kwani hii ni yake,

Mtakumbuka awamu yetu ya tano katika kutekeleza Ilani ya CCM tulifanikiwa kununua Toyota Land cruiser ambulance mpya 117 na hapa tuendelee kumuenzi na kumwombea pumziko jema Mwanamwema wa Africa Hayati Dk John John Joseph Pombe Magufuli kwa kazi kubwa na nzuri alizozifanya kwenye sekta hii ya afya nchini.

Kwakuwa Tanzania tuna jumla ya Wilaya 139 na zote zina hospitali za Wilaya baada ya hizi ambulance kufika kila Hospitali ya wilaya itapata ambulance mpya ( brand new) kwaajili ya kunusuru roho za Watanzania hawa masikini kwa kuwakimbiza kwenye hospitali za juu yao (referral hospitals).

Kwakuwa Tanzania pia tuna jumla ya Halmashauri 184 ikiwemo Ushetu tulikoshinda kiti cha Ubunge kwa kishindo kwa hesabu hii ya ambulance 395 kila halmashauri itapata ambulance mpya kwaajili ya kuhudumia ama za Kituoa cha afya ama Zahanati zao kwaajili ya rufaa za wagonjwa wao kwenye hospitali za Wilaya, Watu wa Idara ya afya tunzeni sana mali hizi.

Ambulance hizi 395 ni mara tatu zaidi ya ambulance zote 117 zilizonunuliwa kwa miaka mitano yote ya awamu ya tano ,kwa wenye kumbukumbu nzuri mtakubaliana na mimi kuwa jambo hili halijawahi kutokea katika historia ya nchi hii, " kama kuna mtu wa kumwombea kwa nguvu zote kwa sasa basi ni Rais Samia Suluhu Hassan "

VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA
Miaka mitano ya Mama Samia, Tutakuwa mbali sana,
 
Bahati mbaya sana mimi nathamini sana "Viewers " sio commentetous so kila mtu ashinde mechi zake,

Am The One nafanya Uzalendo kwa vitendo kwa nchi yangu humu JF,

NAJUA CHADEMA TUMEWAKABA SANA KWA HOJA HAPA SO LAZIMA MTANGETANGE
CHADEMA anataka kumwelekeza CCM cha kufanya, Hatari tupu
 
Sina muda wa kukufuatilia,ila ninachosema Huo mchezo unaofanya sio afya Kwa jukwaa letu pendwa!
Unakuta unafufua Uzi,unajikuta ni wewe pekee umecomment siku hiyo!Kesho unarudia Tena kuufufua,kesho kutwa hivyo hivyo!Acha habari mpya zije,kama unazo habari mpya leta tutachangia!
Sasa magari yameshanunuliwa,unataka tujadili mwaka mzima magari yaliyokwishanunuliwa?
Magufuli aliweka record yake Kwa kununua ndege,zikavuta hisia za watu sana!Je,unaona nyuzi za ununuzi wa ndege zikifufuliwa hapa kila wakati?Watu wafufue nyuzi za ndege, ujenzi wa Barbara,madaraka,vivuko,hospitali,zahanati,maji,umeme NK!Hili jukwaa litakuwa la namna gani?
Lete vitu vipya,ikitokea Kuna uhusiano wa mazingira ya Sasa na tukio lililowahi kurepotiwa hapa JF,ndio uende kufufua Uzi na uoneshe uhusiano Huo!
Umenena vyema
 
Rais Samia avunja record ya kuhamasisha ufisadi kwenye Taifa tena kupitia TV ya Taifa🐒🐒🐒
View attachment 2101140
Kwani wewe jamaa ni kilaza sana kiasi kiswahili kimekupiga chenga sana au..? Hii methali ya Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake mbona imekuwa ikifundishwa tangu darasa la pili na tafsiri yake kila mtu atakula kilicho halali kwake aubkwa mujibu wa jitihada aliyofanya. Sasa kuna kitu gani kigeni hapo kwenye statement ya SSH? The president was insisting everyone should observe boundaries when acting towards public interest. Simply that.
 
Kwani wewe jamaa ni kilaza sana kiasi kiswahili kimekupiga chenga sana au..? Hii methali ya Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake mbona imekuwa ikifundishwa tangu darasa la pili na tafsiri yake kila mtu atakula kilicho halali kwake aubkwa mujibu wa jitihada aliyofanya. Sasa kuna kitu gani kigeni hapo kwenye statement ya SSH?
Magnification tu
 
Kwani wewe jamaa ni kilaza sana kiasi kiswahili kimekupiga chenga sana au..? Hii methali ya Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake mbona imekuwa ikifundishwa tangu darasa la pili na tafsiri yake kila mtu atakula kilicho halali kwake aubkwa mujibu wa jitihada aliyofanya. Sasa kuna kitu gani kigeni hapo kwenye statement ya SSH? The president was insisting everyone should observe boundaries when acting towards public interest. Simply that.
Unachofanya ni kujilazimisha kuwa mpumbavu.

Kwenye hii video ndefu hapa chini Samia anazungumzia jinsi hela za miradi zinavyoliwa na watumishi hadi miradi kukwama(compromised).

Hazungumzii watu kula stahiki zao halali kama vile posho,marupurupu wala stahiki nyingine kama unavyodai.Kumbuka budget ya posho(stahiki halali) ni tofauti na budget ya miradi.Uliwaji wa hela za posho haiwezi kukwamisha miradi.

Samia hapa anazungumzia miradi ya Meli,Bandari,Barabara na mingineyo kukwama kutokana na fedha yake kutafunwa.

Anazungumzia fedha za miradi kutafunwa na kitendo hiki ndicho anachokiita kuwa ni kula hadi kuvimbiwa.

Ndipo akashauri kuwa fedha hizo zitafunwe bila kukwamisha miradi na ndipo kitendo hicho akakiita kuwa ni kujipimia.

Nasisitiza kuwa kwa kuwa budget ya posho ni tofauti na budget ya miradi,utafunwaji wa fedha za posho hauwezi kukwamisha miradi na Samia asingekuwa na haja ya kulizungumzia hilo.

Samia anazungumzia budget ya miradi kutafunwa kwa kuwa kitendo hicho kinakwamisha miradi ndipo akashauri kuwa fedha hizo zitafunwe bila ya kuua miradi moja kwa moja(kujipimia),ndipo mimi kitendo hicho nakiita kuwa ni kuhamasisha ufisadi.

Anachozungumzia Samia hapa ni miradi kukwama kutokana na fedha za miradi kutafunwa.
 
Back
Top Bottom