Rais Samia avunja rekodi ununuzi wa ambulance na magari ya Chanjo

Tanzania tuko vizuri sana
 
Kwa speed hii ya Rais Samia, Tanzania huenda ikaibua mabilionea wapya 100 miaka miwili ijayo,Tufanye kazi kwa bidii zaidi
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
 
Kaziiendelee mama Samia tuko nyuma yako,
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Kaziiendelee
 
Haya magari ya chanjo ya nini watu wameshasema hawataki kuchanjwa
 
Hivi kwanini unapenda kufufua Old news bila mantiki?Nyuzi hufufuliwa kama rejea Kwa kuhusianisha na current issues!
Unachofanya ni kutunyima fursa ya kuona mabandiko mengine hasa Kwa sisi ambao tukiingia JF tunaangalia page ya kwanza tu!
 
Kama ni Rais tu tunae kwakweli,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…