Pre GE2025 Rais Samia awaambia CCM: Tusiingiwe na pepo la kuwaogopa Wapinzani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Your browser is not able to display this video.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amewataka Wanachama wa CCM kuwa licha ya kujiamini hawatakiwi kubweteka na wasiingiwe na uoga dhidi ya Wapinzani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Amesema hayo wakati wakati wa Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM, leo Jumatano Februari 5, 2025 Jijini Dodoma.

Pia soma ~ Dodoma: Yanayojiri Miaka 48 ya Maadhimisho ya Kuzaliwa kwa CCM
 

..Mama Abduli ndio wa kwanza kuingiliwa na pepo la uoga, ndio maana hataki Tume Huru ya Uchaguzi.
 
CCM waiba kura hao hawana baya hao.
 
..huyu Mama akizungumza huwezi kumfuatilia kabisa.

..hotuba zake ni very boring. Ziko very plain and not specific to anything.
 
CCM nyie mna dola na majini sisi tuna Mungu muumba wa mbingu na ardhi.
 
JK hana amani ameshagundua kuwa mchezo alioleta unaenda kuwa maafa makubwa kwa CCM
 
Yaani hapo ndio ujue dozi za CHADEMA zinaingia vizuri sasa. Hongera CDM!
 
Kwa SAMIA anajua wapinzani ni akina Lissu tu,hv anadhani wanaCCM Wamependa sana uhuni alioufanya mwezi tuliopita pale Dodoma anadhani wameridhika na wanampenda sana,mwambieni SAMIA ajiandae kisaikolojia kwa changamoto za ndani ya Chama chake na nje ya CCM.
 
AMeongea kama mwenyekiti wa chama sio raisi wa tanzania. Elewa muktadha aliokuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…