Pre GE2025 Rais Samia awaambia CCM: Tusiingiwe na pepo la kuwaogopa Wapinzani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nimemuona mzee wa Msoga bado hajaelewa kama hili bao lake la mkono litafika salama Oktoba au litamsambaratikia na genge lake la wAnyang'anyi
 
..wameshampitisha Mama Abduli.

..Nchimbi ndio Katibu Mkuu, hivyo yeyote anayetaka fomu ya Uraisi lazima apitie ofisi ya Nchimbi.🤣
 
Back
Top Bottom