K konyola JF-Expert Member Joined Dec 13, 2016 Posts 4,191 Reaction score 6,636 Feb 5, 2025 #21 Nimemuona mzee wa Msoga bado hajaelewa kama hili bao lake la mkono litafika salama Oktoba au litamsambaratikia na genge lake la wAnyang'anyi
Nimemuona mzee wa Msoga bado hajaelewa kama hili bao lake la mkono litafika salama Oktoba au litamsambaratikia na genge lake la wAnyang'anyi
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Feb 5, 2025 #22 Mrs Byesige said: Nilijua ni mimi tu aise..hotuba nyepesi mnoo hazina mvuto Click to expand... ..hotuba nzima hakuna kupiga makofi, wala kucheka.
Mrs Byesige said: Nilijua ni mimi tu aise..hotuba nyepesi mnoo hazina mvuto Click to expand... ..hotuba nzima hakuna kupiga makofi, wala kucheka.
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Feb 5, 2025 #23 konyola said: Nimemuona mzee wa Msoga bado hajaelewa kama hili bao lake la mkono litafika salama Oktoba au litamsambaratikia na genge lake la wAnyang'anyi Click to expand... ..wameshampitisha Mama Abduli. ..Nchimbi ndio Katibu Mkuu, hivyo yeyote anayetaka fomu ya Uraisi lazima apitie ofisi ya Nchimbi.🤣
konyola said: Nimemuona mzee wa Msoga bado hajaelewa kama hili bao lake la mkono litafika salama Oktoba au litamsambaratikia na genge lake la wAnyang'anyi Click to expand... ..wameshampitisha Mama Abduli. ..Nchimbi ndio Katibu Mkuu, hivyo yeyote anayetaka fomu ya Uraisi lazima apitie ofisi ya Nchimbi.🤣
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 Feb 5, 2025 #24 SAGAI GALGANO said: ...sisi tuna Mungu... Click to expand... Futa kabisa hayo mawazo. Mungu ni wa wote😁
SAGAI GALGANO said: ...sisi tuna Mungu... Click to expand... Futa kabisa hayo mawazo. Mungu ni wa wote😁