Rais Samia awaombe Wafanyabiashara wa Tanzania warudishe Mitaji

Rais Samia awaombe Wafanyabiashara wa Tanzania warudishe Mitaji

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
55,997
Reaction score
88,219
Sote tunajua Awamu ya tano ilivyokuwa ikiwapora Wafanyabiashara wa Ndani pamoja na kubambikiwa Kodi zenye nia ya kuwafilisi Wafanyabiashara wetu wa ndani.

Kuona hivyo Wafanyabiashara wengi walipekeka Mitaji yao Nchi za Nje.

Ni pesa nyingi ya Watanzania iko Nchi jirani.

Samia awaombe warudishe na kuwahakikishia usalama wa fedha zao.

Thank God Jinamizi limeenda.
 
Kwa taarifa yako mazingira ya uwekezaji kwa sasa ni very unpredictable, maana hakuna ajuaye kesho ya CCM, akija mtu mwenye kariba ya Dkt Magufuli hao wakwepa kodi watashughulikiwa tena, maana yake Rais Samia alikosea sana tena sana kudhani Dkt Magufuli alikuwa anaonea walipa kodi kumbe lile lilikuwa genge la wahujumu uchumi, ingawa ndiyo kulikuwa na vijamaa vya TRA vila rushwa basi hayo ni mapungufu ingawa hayaondoi ulazima wa serikali kukusanya kodi.

Kwa ujumla hakuna mfanyabiashara mwenye akili timamu atakuja kuwekeza Tanzania kwa sababu sera zetu za kulinda wawekezaji zinategemea rais aliyepo madarakani mfano unaweza kuwa na rais anayeruhusu wafanyabiashara wakwepe kodi (Rais Samia) au ukawa na Rais anayetaka wafanya biashara walipe kodi (Dkt Magufuli)
 
Kwa taarifa yako mazingira ya uwekezaji kwa sasa ni very unpredictable, maana hakuna ajuaye kesho ya CCM, akija mtu mwenye kariba ya Dkt Magufuli hao wakwepa kodi watashughulikiwa tena, maana yake Rais Samia alikosea sana tena sana kudhani Dkt Magufuli alikuwa anaonea walipa kodi kumbe lile lilikuwa genge la wahujumu uchumi, ingawa ndiyo kulikuwa na vijamaa vya TRA vila rushwa basi hayo ni mapungufu ingawa hayaondoi ulazima wa serikali kukusanya kodi. Kwa ujumla hakuna mfanyabiashara mwenye akili timamu atakuja kuwekeza Tanzania kwa sababu sera zetu za kulinda wawekezaji zinategemea rais aliyepo madarakani mfano unaweza kuwa na rais anayeruhusu wafanyabiashara wakwepe kodi (Rais Samia) au ukawa na Rais anayetaka wafanya biashara walipe kodi (Dkt Magufuli)
Hata hueleweki you're all over the place

Umejuaje kama ni wakwepa Kodi? Magufuli alikuwa anazulumu wazi wazi na hadi kufikia kusema "Wafanyabiashara wataishi kama Mashetani"
Wewe pia unaonekana ni Magufulist mwenye chuki na Wafanyabiashara.
 
Wakwepa kodi nchi hii ni moja ya tatizo kubwa sana.

Soma ushahidi hapa chini

Ficha upumbavu wako. Wakwepa kodi nchi hii ndiyo tatizo kubwa la mapato kidogo serikalini, na serikali inaishia kukimbizana na vikodi vya wajinga walalahoi na wafanya kazi wa serikali ila matajiri wanaachiwa (ushahidi wa Rais Samia kuhimiza ukwepaji wa kodi upo kupitia hotuba zake). Usiwe mpumbavu wa kushindwa kuelewa vitu vidogo ambavyo vipo wazi kabisa.
Bora utawala wa watu wakwepa Kodi kuna utu hamna uporaji kuua watu hovyo hovyo na kuwaweka kwenye salfeti baharini. Terrorist is gone now we are enjoying the fruits of peace and harmony despite the global financial crisis.

Magonjwa Mtambuka
 
Naunga mkono hoja, kuna lakufanya kwa serekali yetu kurudisha wafanyabiashara waliokuwa håpa Nchini, na kualika wengine wapya kutoka mataifa waje kuwekeza mitaji, mgeni atakapokuja na dola million 5,akawa na project yake, kukawa na uwezekano wa kuajiri watanzania 100, apewe na uraia.(nchi nyingi hufanya hivi alimradi rekodi ya mhusika inakuwa safi huko alipotoka)
 
Sote tunajua Awamu ya tano ilivyokuwa ikiwapora Wafanyabiashara wa Ndani pamoja na kubambikiwa Kodi zenye nia ya kuwafilisi Wafanyabiashara wetu wa ndani.

Kuona hivyo Wafanyabiashara wengi walipekeka Mitaji yao Nchi za Nje.

Ni pesa nyingi ya Watanzania iko Nchi jirani.

Samia awaombe warudishe na kuwahakikishia usalama wa fedha zao.

Thank God Jinamizi limeenda.
Acha kumuita Jinamizi Mungu tu ndiye mwenye uwezo wa kuhukumu lakini Rais Samia Suluhu amewarejesha saizi hela inaonekana mtaani sio kama zamani
 
Back
Top Bottom