Rais Samia awapa Wanafunzi Mbinu za kufaulu awaambia Majawabu ya Maswali yote Yanapatikana Kupitia TEHAMA

Rais Samia awapa Wanafunzi Mbinu za kufaulu awaambia Majawabu ya Maswali yote Yanapatikana Kupitia TEHAMA

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais Samia amewapa Wanafunzi Mbinu za kufaulu awaambia Majawabu ya Maswali yote Yanapatikana Kupitia Tehama

Rais Samia amesema Wanafunzi waikumbatie Tehama na wawe na uelewa mpana kuhusu Akili Mnemba AI

Rais Samia amesema teknolojia Ndio mwelekeo wa Dunia na matumizi ya Kalamu na Karatasi yanazidi kupungua.

Soma Pia: Rais Samia: Sitaki kusikia kesi za mimba shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, huku msituni mimba itatokea wapi?


Source: Mwananchi
 
Back
Top Bottom