J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Sep 27, 2024 #1 Rais Samia amewapa Wanafunzi Mbinu za kufaulu awaambia Majawabu ya Maswali yote Yanapatikana Kupitia Tehama Rais Samia amesema Wanafunzi waikumbatie Tehama na wawe na uelewa mpana kuhusu Akili Mnemba AI Rais Samia amesema teknolojia Ndio mwelekeo wa Dunia na matumizi ya Kalamu na Karatasi yanazidi kupungua. Soma Pia: Rais Samia: Sitaki kusikia kesi za mimba shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, huku msituni mimba itatokea wapi? Your browser is not able to display this video. Source: Mwananchi
Rais Samia amewapa Wanafunzi Mbinu za kufaulu awaambia Majawabu ya Maswali yote Yanapatikana Kupitia Tehama Rais Samia amesema Wanafunzi waikumbatie Tehama na wawe na uelewa mpana kuhusu Akili Mnemba AI Rais Samia amesema teknolojia Ndio mwelekeo wa Dunia na matumizi ya Kalamu na Karatasi yanazidi kupungua. Soma Pia: Rais Samia: Sitaki kusikia kesi za mimba shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, huku msituni mimba itatokea wapi? Your browser is not able to display this video. Source: Mwananchi