Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
kwahakika,Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,amewapongeza na kuwatakia kila la heri Taifa stars katika ushindi mnono walioupata katika mechi ya leo.
Na huu ndio ujumbe wakeView attachment 3092756
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ni ujumbe wa Mheshimiwa Rais wetu mpendwa Mwenyewe,ambaye ameleta chachu ya ushindi kuanzia ngazi ya vilabu hadi timu ya Taifa.kutokana na hamasa kubwa ambayo amekuwa akitoa kwa wachezaji wetu na timu zetu.Unauhakoka ni yeye au kuna njemba ipo ofisini ina control hiyo account?
Achaga ujinga watu wapo kwenye majonziNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,amewapongeza na kuwatakia kila la heri Taifa stars katika ushindi mnono walioupata katika mechi ya leo.
Na huu ndio ujumbe wakeView attachment 3092756
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kama ulikuwa hufahamu ningependa kukwambia kuwa michezo au mpira huungamisha Taifa.Michezo au mpira hutangaza Taifa letu na hivyo kuchochea Masuala Mazima ya Utalii.Fanya ya maana mkuu...yaani hii ilikuwa haina haja ya kuanzisha uzi
Mambo ya mpira harakaharaka, majanga kama utekaji aaaaahNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,amewapongeza na kuwatakia kila la heri Taifa stars katika ushindi mnono walioupata katika mechi ya leo.
Na huu ndio ujumbe wakeView attachment 3092756
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hamia wewe ndugu yangu mtanzaniaMods, hamisha hii peleka kwenye jukwaa la michezo. Taifa Stars na siasa wapi na wapi?
Tayari iko kwenye Jamii Sports 🤣🤣Hamia wewe ndugu yangu mtanzania
Hakuna shabiki aliyebubujikwa na machozi kwa ujumbe huo wa rais?Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, amewapongeza na kuwatakia kila la heri Taifa stars katika ushindi mnono walioupata katika mechi ya leo.
Na huu ndio ujumbe wake
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Pia soma
- News Alert: - FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium
Kwa hiyo unataka niniTayari iko kwenye Jamii Sports 🤣🤣
Nataka ujue kuwa kuna majukwaa ya mada tofauti tofauti hapa JF. Ni hilo tu; au una swali jingine ?Kwa hiyo unataka nini
Pengine tayari.Achana na uchawa kijana, maana usipo kuwa makini shida zako za nyuma zita tatuliwa