Rais Samia awasili na kupokelewa mkoani Kilimanjaro

Rais Samia awasili na kupokelewa mkoani Kilimanjaro

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
RAIS DKT. SAMIA AWASILI NA KUPOKELEWA MKOANI KILIMANJARO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili mkoani Kilimanjaro, leo tarehe 16 Septemba, 2024.

Rais Samia anatazamiwa kuwa mgeni rasmi katika kufunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi yatakayofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) – Moshi, Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.

#SamiaAPP
#KaziIendelee

IMG-20240916-WA2438.jpg
IMG-20240916-WA2440.jpg
IMG-20240916-WA2439.jpg
IMG-20240916-WA2441.jpg
 
Back
Top Bottom