Rais Samia Awasili Zambia kwa Uapisho wa Hichilema

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda Jijini Lusaka kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Mhe. Hakainde Hichilema, Rais Mteule wa Jamhuri ya Zambia tarehe 01 Septemba, 2026.
 
Ameenda kuendelea kumfanyia mentorship HH kuhusu mpinzani wake.
 
Hivyo raisi wetu sasa kwa hizi siku 2 ni Deo Ndenjembi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…