Mbona imeandikwa na watanzania wote? Basi sisi sote Tanzania ni takataka.,..Hata kama una grudges zako try to be impartial and reasonableNimesoma matakamko ya DIRA ya KITILA MKUMBO itoshe kusema ni TAKATAKA
Mbona imeandikwa na watanzania wote? Basi sisi sote Tanzania ni takataka.,..Hata kama una grudges zako try to be impartial and reasonableNimesoma matakamko ya DIRA ya KITILA MKUMBO itoshe kusema ni TAKATAKA
Umenena vemaMbona imeandikwa na watanzania wote? Basi sisi sote Tanzania ni takataka.,..Hata kama una grudges zako try to be impartial and reasonable
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe ameonekana akiwasili katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma, kushuhudia uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 20250.Umenena vema
Kwa sasa ni Kaimu mwenyekiti ChaummaMwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe ameonekana akiwasili katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma, kushuhudia uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 20250.
Katika hafla hiyo inayofanyika leo Julai 17, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni Rasmi katika tukio hilo la kihistoria linalotokea kila baada ya miaka 25.
Utekelezaji ndio tatizo!Hakuna cha dira wala nini
Ndio maana nasema hakunaUtekelezaji ndio tatizo!
RubbishUsiondoke JF
Ni muhimu ukaelewa Tulikotoka , Tulipo na Tunakokwenda
Ahsanteni sana 🙏
Mara ya mwisho Gazeti la Serikali limeonekana mtaani lini?Usiondoke JF
Ni muhimu ukaelewa Tulikotoka , Tulipo na Tunakokwenda
Ahsanteni sana 🙏
Hakuna kweli ni vile tuu wameyaandika!Ndio maana nasema hakuna
Una moyo hata kukaa kusikiliza hizo hotuba za mipasho... 😄 😄Subilini mipasho na taarabu zake.
Kazi ni kipimo cha utu
Ngoja tuisubiri dira ya mwanamke kutoka kizimkaziMbona imeandikwa na watanzania wote? Basi sisi sote Tanzania ni takataka.,..Hata kama una grudges zako try to be impartial and reasonable
Mzuri labda macho yake, ila akili mmmhYeye mwenyewe hana dira wala mwelekeo halafu anazindua dira?
Wakuu hakuna rais mzuri kama sa100 nasema uongo ndugu zangu?
Haya mambo aliyaweza MkapaHakuna kweli ni vile tuu wameyaandika!