Rais Samia azindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Dodoma Julai 17, 2025

Nina uhakika hujasoma kilichoandikwa hata kurasa mbili lakini kwa ujasiri kabisa unakosoa!.
 
DIRA YOYOTE ISIYOTOKA KWA WANANCHI NI KUPOTEZA MUDA NA RASILIMALI,RAISI SAMIA UMEAMBIWA KWAMBA SIKILIZA WATANZANIA WANATAKA NINI,MAWAZO YA MTU NA MUME WAKE ,AU MTU NA RAFIKI ZAKE NA TENA MAWAZO YA WAHUNI NA WENYE KIBURI,HAYAWEZI KUWA DIRA YA TAIFA:ZAIDI NI KIBURI, UHUNI NA UZANDIKI USIOKUBALIKA
 
Mbona imeandikwa na watanzania wote? Basi sisi sote Tanzania ni takataka.,..Hata kama una grudges zako try to be impartial and reasonable
Watanzania Gani hao?usitudanganye kama MAWAZO tu ya katiba ya WARIOBA iliyobeba mawazo ya watanzania CCM waliikataa,leo ndio mtuambie DIRA Ina mawazo ya watanzania ni uongo mkubwa sana.Hayo sio mawazo ya WANANCHI.
 
Mbona imeandikwa na watanzania wote? Basi sisi sote Tanzania ni takataka.,..Hata kama una grudges zako try to be impartial and reasonable
Dogo ukimaliza kunya uwe unajifuta na kutawaza unachafua chupi
 
Mnanikumbusha kifo cha Vision 2020
 
"maisha bora na ustawi kwa wote"
Kwa wote hapo zamani ilikuwa ni "kwa kila mtanzania"; watanzania wana upendo sana. Mungu awabariki. Amen! Lakini, watanzania wakumbuke moja ya amri kuu inayogusia, " Mpende jirani yako kama unavyojipenda". Ukimpenda zaidi jirani kuliko unavyojipenda, binafsi hiyo ni dhambi.
 
Uzinduzi umefanyika mkoa gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…