johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe mbwiga hata Dr Mahera alisema amepewa orodha ya akina Halima Mdee na Katibu mkuu wa Chadema J J Mnyika.Hii barua ya TFF ya kuahirisha mechi inasema kuwa wamepewa maelekezo kutoka wapi?Ninapokuambia kuwa wewe ni mpumbavu jua kuwa sikuonei!
View attachment 1779701
Unaelewa kuwa hiyo barua ya TFF ni official document?Unaelewa maana ya official document?Unaelewa kuwa FIFA wataitumia barua hii kama kielelezo/ushahidi?Kwa hiyo FIFA wataacha kuiwajibisha Tanzania kwa kosa la kuvunja kanuni kisa hata Dr Mahera alisema amepewa orodha ya akina Halima Mdee na Katibu mkuu wa Chadema J J Mnyika?Wewe mbwiga hata Dr Mahera alisema amepewa orodha ya akina Halima Mdee na Katibu mkuu wa Chadema J J Mnyika.
Hiyo barua umeiona?
Nyie ndio maana Ndugai anawaburuza kadri apendavyo!
Ccm hakuna msafi'…Wahafidhina wa Ujamaa walinifunga Goli 1987 kwa kumnyima kura Cleopa David Msuya Waziri wangu muhimu lakin nami nilihakikisha Pamoja na kunifunga goli hawashindi mechi …na hawakushinda mechi'-Ally Hassan Mwinyi kwny kitabu chake cha Mzee Rukhsa!
Mzee Rukhsa ni Yanga Lia lia naona katumia mbinu ya kimedani kutoharibu tukio lake muhimu kwa Utopolo kufungwa kwa kipigo cha Mbwa mwizi,
Kwahiyo barua za Chadema siyo official? Ni vipeperushi?!!Unaelewa kuwa hiyo barua ya TFF ni official document?Unaelewa maana ya official document?Unaelewa kuwa FIFA wataitumia barua hii kama kielelezo/ushahidi?Kwa hiyo FIFA wataacha kuiwajibisha Tanzania kwa kosa la kuvunja kanuni kisa hata Dr Mahera alisema amepewa orodha ya akina Halima Mdee na Katibu mkuu wa Chadema J J Mnyika?
Huna akili timamu.Unamfananisha Ndugai ambae yeye mwenyewe amekiri kuwa ana file Mirembe na FIFA?Una matatizo ya akili!Kwahiyo barua za Chadema siyo official? Ni vipeperushi?!!
Nimekuambia Ndugai atawaburuza apendavyo kwa sababu ninyi wenyewe hamjitambui!
Hahahaaaa...... Wewe umekiri kuwa barua zenu hapo Ufipa siyo official!Huna akili timamu.Unamfananisha Ndugai ambae yeye mwenyewe amekiri kuwa ana file Mirembe na FIFA?Una matatizo ya akili!
Wapi nimesema kuwa natokea ufipa?Wapi nimekiri kuwa hizo barua siyo official?Ni kitu gani kinazifanya hizo barua kuwa siyo official?Hahahaaaa...... Wewe umekiri kuwa barua zenu hapo Ufipa siyo official!
Ndio maana daktari wa Sheria Tulia alimuonya mama Kafulila kwamba ni mwanachama halali wa Chadema!
Vema sanaWatoto wa miaka ya 2000 mnajulikana tu. Sikiliza nikwambie kijana.. usione maduka kibao k'koo, shule nzuri za serikali na binafsi, mitumba ya kumwaga tandale, manzese, k'koo na sehem mbali mbali za nchi, zahanati na hospital za serikali na binafsi, mchele mzuri wa kunukia, unga safi wa ugali na ngano ukafikiri labda vimeletwa na Kikwete au Magufuli. Hizo ni juhudi za huyo unaemkandia, pengine bila upendo wake kwa wananchi wake leo hii ungekuwa unavaa magunia. Hata hiyo sim unayotumia kuandikia pumba pengine leo usingekuwa nayo. Usione vyaelea vimeundwa kaka
Kuna watu 'hawana shukran'
Gari la milioni 400 is nothing compares na alichofanya Mwinyi nchi hii..
Aliruhusu Uhuru huu WA habari
Kwa mara ya Kwanza vyombo binafsi vya habari vikaruhusiwa..
Akaruhusu vyama vingi ...
Achilia mbali mambo mengi Sana ya kiuchumi
Leo mnamsimanga Kwa gari??
Mkuu umeniacha njia panda namjua Hussein mwinyi Sasa huyu wa pili ndio yupi?Mwinyi ana watoto wawili halafu wote ni maraisi
Mkuu umeniacha njia panda namjua Hussein mwinyi Sasa huyu wa pili ndio yupi?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app