Hata Mzee kupokea na kuridhika inaleta ukakasi.Presidaa amechemka sana
Hata Mzee kupokea na kuridhika inaleta ukakasi.
Mwalimu Julius asingepokea na angewashangaa sana kwa hicho wanachokifanya.
Ushamba sana huu kwa the so-called viongozi; wanasahau kuwa kiongozi ni kioo cha jamii.Sasa ni wakati wa wananchi kupiga kelele, Vingozi wanapigiania maslahi yao wenyewe, haiwezekani mtu anapata kila kitu mpaka matibabu bure kwa kodi zetu, leo unamzawadia gari yenye thamani ya 400m, ili hali hela hiyo inaweza kujenga mradi wa maji ikanufaisha wananchi kibao
Wanasiasa wanajitengenezea ulimwengu wao Afrika, wao ndo wanafanya hali za nchi zao kuendelea kuwa duni. Ndo maana hata sasa wasomi wanakimbilia siasa.Siasa inalipa kuliko kusoma. Kuanzia sasa kila mmoja alipo agombee kwa nafasi yoyote, ni muhula mmoja pisha wengine. Wasitudanganye na eti uzalendo.Sasa ni wakati wa wananchi kupiga kelele, Vingozi wanapigiania maslahi yao wenyewe, haiwezekani mtu anapata kila kitu mpaka matibabu bure kwa kodi zetu, leo unamzawadia gari yenye thamani ya 400m, ili hali hela hiyo inaweza kujenga mradi wa maji ikanufaisha wananchi kibao
Akifanya hivyo mi ntakunya Posta Pale kwenye Sanamu ya Nyerer mchana kweupeJana taharuki ambayo ilizuka kutokana na kuahirisha pambano la watani kwa muda uliopangwa ili wewe uweze zindua kitabu chako halikuwa la kiuungwana.
Pengije hukuhusishwa. Lakini ni wazi kuwa ilisababisha taharuki isiyo na lazima kwa jambo ambalo lilikuwa binafsi.lako binafsi si la kitaifa.
Mechi ya Simba na Yanga ni wa kitaifa. Ndio maana kuna watu walitoka mikoani hata nchi jirani kuja angalia.
Kitabu chako si jambo la kitaifa. Ungeuliza Watanzania wachague kuangalia uzinduzi wako au kuangalia mpira asilimia 90 wangekwambia mpira.
Nani angetaka kufuatilia kitabu cha tsh 75,000? Nani? Kimsadie nini? Muda wa kukisoma angepata wapi na changamoto za maisha duni?
Hawa Watanzania walisababishiwa taharuki isiyo na sababu na yangeweza hata tokea maafa kama wangeweza kuwa mobillized kidogo tu kugoma na kufanya fujo.
Mzee wangu naamini una busara. Umri wako mkubwa n.k. kusema pesa zinazopatikana kutokana na kitabu hicho zichangie sijui mfuko gani...hamna kitu hapo. Wanunuzi wa kitabu hicho tz nzima sidhani kama watafika hata 1000.
Mi nadhani kama una nia ya kuwasaidia Watanzania rudisha hiyo gari uliyopewa. Ipigwe mnada then pesa zake zitumike kusaidia watanzania maskini. ukauze baadhi ya mali zako uwasaidie maskini.
Watoto wako hawashindwi kukununulia gari utakalo. Asilimia 80 ya mshahara unaoendelea kupata hushindwi wewe kununua gari utakalo. Unalipiwa karibia kila kitu. Kuna haja gani mzee kuchukua zaidi pesa za Watanzania maskini hawa?
Mshukuru mama Samia mwambie asante kwa zawadi nami naitoa kuirudisha kwa watanzania maskini. Huo ni uungwana.
Ni hayo tu mzee wangu.
Wabillah Tawfiq.
Ukumbuke Bila Mwinyi Samia asingefika hapo alipo, Bila Magufuli Huseein Mwanaye asingefika pale alipo. Usiku mwema.Sasa ni wakati wa wananchi kupiga kelele, Vingozi wanapigiania maslahi yao wenyewe, haiwezekani mtu anapata kila kitu mpaka matibabu bure kwa kodi zetu, leo unamzawadia gari yenye thamani ya 400m, ili hali hela hiyo inaweza kujenga mradi wa maji ikanufaisha wananchi kibao
Unataka Rais anunuliwe gari na watoto wake? Hivi nyie mmezaliwa Somalia Nini? Unataka Rais sasa akiwa Madarakani awe mwoga ajilimbikizie. Benz moja tu roho imewatoka kwa mtu ambaye ametutoa Gizani akatuweka kwenye nuru
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
AhsanteJana taharuki ambayo ilizuka kutokana na kuahirisha pambano la watani kwa muda uliopangwa ili wewe uweze zindua kitabu chako halikuwa la kiuungwana.