Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizungumza na Wananchi kwenye mkutano wa Hadhara katika viwanja vya Azimio Mpanda Mjini mkoani Katavi, ikiwa ni sehemu ya ziara yake leo tarehe 13 Julai, 2024.