Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Sahihi ni anazungumza na wanachama wa CCM waliosombwa kila mahaliRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizungumza na Wananchi kwenye mkutano wa Hadhara katika viwanja vya Azimio Mpanda Mjini mkoani Katavi, ikiwa ni sehemu ya ziara yake leo tarehe 13 Julai, 2024.
A very stunning, hotuba nzuri mno mno!Tunafuatilia
Utaramba dawa gani!Tunafuatilia
Kuna vitu vingine huwa vinakuja vyenyewe tu Mkuu. Havihitaji kulazimishwa. Sasa utapataje hamu ya kumsikiliza mtu ambaye ni kana kwamba hana muda na wanyonge?Sijui.kwanini hata hamu ya kumsikiliza sina!sijui nimerogwa sijui sijaridhika wakati mimi ni comrade kabisa!!
Najishangaa kabisa!!
Zamani wakati wa chuma hata kama alikua anatuudhi namna gani lakini akiongea unamsikiliza unahisi Kuna jambo jipya litamtoka!!
Sasa sijui mama yangu kawaje hata kumsikiliza hamna kabisa ham!!ni mvuto Hana au ni nini!!?
Mungu atusamehe kwakweli!
Ukitaka kujua mama hana watu fuatilia uzi huuUtaramba dawa gani!
Wacha weeeA very stunning, hotuba nzuri mno mno!
Sio kigezo hicho ukienda maktaba kwako utakuta nyuzi za aina hii kumuhusu king mswati na sindbad baharia wa ufipa na ulizishusha wewe je nao hawana watu!Ukitaka kujua mama hana watu fuatilia uzi huu
A very stunning!sawa stunning!Wacha weee