Rais Samia azungumza na watendaji wa kiwanda cha sukari Mtibwa baada ya kuzindua bwawa la umwagiliaji

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Wafanyakazi wa Kiwanda cha Sukari cha Mtibwa mara baada ya kuzindua Bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 pamoja na Awamu ya tatu ya upanuzi wa mashamba ya Kiwanda hicho, Mvomero Mkoani Morogoro tarehe 03 Agosti, 2024.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…